Mpaka sasa raisi wetu ameshatunukiwa PHD za
Heshima 6,na mimi naomba niwatunukie Phd za
Uvumilivu wale wadada woteee ambao
ukiwaangalia ni wembamba lakini siku
atakayokutambulisha "PLEASE MEET MY BOYFRIEND"
lazima macho yakutoke maana ukiwatazama wakiwa wamesimama ni kama Usingizi na Kifo
wameoana ..Mwanaume ana Mkitambi mrefu
Manzese hadi Mbagala na mwili usio na
ushirikiano, mnene kama anakulaga lunch ya
Twiga Cement kadada kadunchu maskini,
sasa pata
picha ule muda wa kulegeza chaga sijui hata style gani inawafaa maana Mende kaangusha Kabati
mdada hawezi kuhimili Kilo 100 za mzee, Mbuzi
yuko Bize Style Kitambi kinafunika Rejeta, 69 ndo
kabisaaa...Ila jamaa ana hela mdada anavumilia na
ana guts za kusema I love my man..mweh
Nakutunuku Tuzo ewe dada, na Phd 2 za Uvumilivu na Mapenzi ya dhati. Hata Rick Ross anaweza
kuambiwa Auww Babe You look Sexy...
-STUNTER-