Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,629
Wakuu,
Nimepata Hii Fursa ya Kufundisha Somo la Dini ya Kikristo Katika Shule za Serikali na Binafsi!
Japo ni Kujitolea na Maslahi Kiduchu,ila Nimeona Si Vibaya Iwapo Nitasaidia Kuipeleka Injili ya Bwana Mbele!
Kwahiyo Naomba Waliosoma,Wanaofundisha au Wana Ujuzi Zaidi na Somo Hili Wanisaidie:Syllabus Yake,Vitabu,na Reviews za Maswali na Majibu kwa Kidato cha Kwanza na Pili na Tatu na Nnne!
Pia Nitashukuru Kama Nitapata Msaada wa Kujulishwa Ni Wapi Naweza Pata Rejea Nzuri za Somo Hili!Iwe Mitandaoni au Vitabuni(Hardcopy)!Pia Kama Kuna Wahisani Wanaohusika na Kudhamini Mambo ya Kidini na Wenye Wito Wakusaidia Biblia Kwa Ajili ya Wanafunzi Ntashukuru Kama Nitaunganishwa Nao!
Asanteni!