Naomba msaada wenu, nahisi kuchukua maamuzi magumu

Huyo mwanamke dawa yake ni ndogo kabisa.
Usimtafute na ukikutana naye usuonyeshe dalili yoyote ile kuwa umewahi kuwa naye kimapenzi.
Kisha fanya mambo yako funga ndoa haraka.
Utakuja kunishukuru.
Onyo: Ukimrudia tu aidha kwa kuomba yeye au wewe hapo umekwisha
 
Ruka viyunzi broh!

Niheri kwako shari kamili hilo sasa masikitiko yanini!?

Huenda huyo dada ni tasa yani mgumba hana kizazi kwanini uchukue maamuzi magumu, Mshukuru mungu bado anakuongoza njia iliyonyoofu na yenye ujasiri wa baraka njema kwako...Futa kichwani yale yote mliyotenda na kupanga kupitia huyo mwanamke kwani hakua chaguo sahihi kwako.....Usikwazwe na upofu wa mapenzi kwakua mapenzi ni ushenzi....Anza kuwatia mimba na ukae pembeni ukiwasoma tabia utakuja nishukuru baadae utanikuta nimetulia humu JF naendelea kukuongoza vyema😂😂😂
 
Habari zenu, naombeni ushauri hata kunichangia hata mawazo niondokane na hili, jambo.

Nilikuwa na mpenzi wngu tumedumu kwenye mahusiano miaka mitatu, hatimae mwaka huu mwezi wa 2 kaniacha kisa kupishana kidogo tu.

Nahisi kufa na kuchukua maamuzi magumu, mapenzi yananiumiza sanaaa, mipango mingi tulipanga mengi tumeyafanya, mengi mno.

Nikikumbuka tu kidogo naishia kulia haijalishi niko wapi. Hata kazini tuu nikimuwaza kidogo tu naliaa, kubwa zaidi kinachoniuma ktk mahusiano yetu, mpenzi aliwah kuwa na mahusiano ya Siri na mtu flan nikagundua, akaomba msamaha yakaishaa.

Hivi sasa nimeona ndio wamerudiana tenaa kama walivyokua, naumiaa sana, usingizi sipati. Nimekuwa mtu wa hvyoo muda wote hasa muda tukiokaaa, mambo tuliyopanga, vitu tulvyofanyaa, na huyo mwanamke nilimpangia Chumba sehem, lakini yaliyonisibu nahisi nimebaki peke yangu. Dunia yotee.
Oshey mr
 
😭😭😭😭😭
Tafuta demu haraka sana omba ruhusa job tumia Laki tafuta demu spend nae siku 3 kwa hio Laki au Laki 2 utamsahau huyo bwege, uko udwanzi
 
Pole sana kila mwanaume amepitia hicho kipindi, kuna ambao walimuachia mwanamke kila kitu wakatoka na nguo zao tu wakaanza upya, na mengine mengi kila mmoja ameumizwa nina mengi ya kukuambia na natambua situation yako ila fanya hivi

1. Hama mtaa au nyumba unayokaa ambayo mpenzi wako alikuwa anakuja
2. Tafuta kitu kitakachokupa furaha tofauti na mapenzi
3. Futa picha zake zote, futa namba ya simu ya kwake ma marafiki zake na mu unfollow kwenye social network zote
4. Jitenge na watu wote wanaoweza kukupa habari zake
5. Ondoa kila kitu kinachomuhusu kwako kama mlikuwa mnaangali tv pamoja acha kuangalia vipindi mlivyokuwa mnaangalia wote, acha kusikiliza nyimbo azipendazo

6. Usipende kukaa peke ako tafuta marafiki nenda bar kunywa hata juice au soda rudi hm ukiwa ma usingizi jikeep busy bro

7. Kama ni mtu wa dini funga na kuomba naamanisha omba upate faraja ya moyo
Mungi ni pendo na anakupenda shetani anatumia mapenzi kuumiza vijana wengi sana soma zaburi ya 142 usiku huu

Not
Usiogope unachokifikiria kichwan kwako si uhalisia wewe ni wa thamani sana na kunawasichana wengine wazuri wanakupenda na kukungojea

Mungu akikuondoa mahali using'ang'anie anajua mawazo na amesikia maongezi yao mabaya ambayo wewe huyajui
Jumbe vipi Mpe ushauri wa kumkata stress papo hapo
 
Pole mkuu.. ila sik nyngne USIRUDIE KUPIMA KINA CHA MTO NA MIGUU YOTE, SAWA?!?

TIME HEALS EVERYTHING.
 
Habari zenu, naombeni ushauri hata kunichangia hata mawazo niondokane na hili, jambo.

Nilikuwa na mpenzi wngu tumedumu kwenye mahusiano miaka mitatu, hatimae mwaka huu mwezi wa 2 kaniacha kisa kupishana kidogo tu.

Nahisi kufa na kuchukua maamuzi magumu, mapenzi yananiumiza sanaaa, mipango mingi tulipanga mengi tumeyafanya, mengi mno.

Nikikumbuka tu kidogo naishia kulia haijalishi niko wapi. Hata kazini tuu nikimuwaza kidogo tu naliaa, kubwa zaidi kinachoniuma ktk mahusiano yetu, mpenzi aliwah kuwa na mahusiano ya Siri na mtu flan nikagundua, akaomba msamaha yakaishaa.

Hivi sasa nimeona ndio wamerudiana tenaa kama walivyokua, naumiaa sana, usingizi sipati. Nimekuwa mtu wa hvyoo muda wote hasa muda tukiokaaa, mambo tuliyopanga, vitu tulvyofanyaa, na huyo mwanamke nilimpangia Chumba sehem, lakini yaliyonisibu nahisi nimebaki peke yangu. Dunia yotee.
😭😭😭😭😭
Maisha yako ni zaidi ya mapenzi ya kitoto. Kwanini usiache kuchukua hatua yoyote na kuangalia mambo yatakavyokwenda ndipo uamue. Hivi baba yako na mama yako wangechukua maamuzi magumu yenye madhara wewe ungekuwa wapi? Kwa alicihoifanya atakifanya tena na utaumia zaidi. Nadhani wewe ulikuwa unampenda wakati yeye hakupendi. Fikiria. Kabla hujakutana naye ulikuwa huwezi kuishi? Acha utegemezi katika mapenzi.
 
Nimekuwa mtu wa hovyoo muda wote hasa muda tukiokaaa, mambo tuliyopanga, vitu tulvyofanyaa, na huyo mwanamke nilimpangia Chumba sehem, lakini yaliyonisibu nahisi nimebaki peke yangu. Dunia yotee.
😭😭😭😭😭
Wakati wewe ukilia kibwege mwenzako ana full tabasamu. Acha ujinga wa kulia lia hovyo kisa mapenzi.

Halafu uwe unasikia unapoelekezwa na mabaharia. Mabaharia walishasema "mwanamke ambaye hujamuoa (mpenzi/mchumba) hahudumiwi". Lkn wewe ukakiuka na kujigeuza kuwa babake. Pole sana
 
Habari zenu, naombeni ushauri hata kunichangia hata mawazo niondokane na hili, jambo.

Nilikuwa na mpenzi wngu tumedumu kwenye mahusiano miaka mitatu, hatimae mwaka huu mwezi wa 2 kaniacha kisa kupishana kidogo tu.

Nahisi kufa na kuchukua maamuzi magumu, mapenzi yananiumiza sanaaa, mipango mingi tulipanga mengi tumeyafanya, mengi mno.

Nikikumbuka tu kidogo naishia kulia haijalishi niko wapi. Hata kazini tuu nikimuwaza kidogo tu naliaa, kubwa zaidi kinachoniuma ktk mahusiano yetu, mpenzi aliwah kuwa na mahusiano ya Siri na mtu flan nikagundua, akaomba msamaha yakaishaa.

Hivi sasa nimeona ndio wamerudiana tenaa kama walivyokua, naumiaa sana, usingizi sipati. Nimekuwa mtu wa hvyoo muda wote hasa muda tukiokaaa, mambo tuliyopanga, vitu tulvyofanyaa, na huyo mwanamke nilimpangia Chumba sehem, lakini yaliyonisibu nahisi nimebaki peke yangu. Dunia yotee.
😭😭😭😭😭

Ni rahisi sana si, sio Mama yako huyo akulize.
 
Mkuu wala hata usiwaze sana. Nenda kwenye nyuzi za hawa watu Mzee wa kupambania rikiboy somaaa alafu pata msosi shiba piga kaz kwa raha zako
 
Naanza kuelewa kwann tumepewa mistari flani kwenye biblia. Huwa inatusaidia kwenye nyakat kama hizi. Mmoja ni; Furahini katika Bwana siku zote..tena nasema furahini. This verse inatuasa na kutuplease kuwa furaha zetu zitokane na Mungu pekee.

Yeye ndie atoae furaha ya kweli. Na furaha kutoka kwa Mungu huwa inadumu, ina amani, haina doubts. Hata usipopata umuombacho kwa sababu unampenda utamfurahia tu. Verse ingine ni ile inayosema; mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, roho,akili na nguvu zako zote.

Huu mstari mwanadamu yoyote akichagua kuuishi to the maximum hakuna lolote litakaloweza kumpelekesha maishani. Tena hasa hasa ukijua upendo ni nini kama 1 Kor 13 inavyouelezea. Ni kheri kuwekeza furaha na mioyo yetu mbinguni au kwa Mungu maana yeye ni Alfa na Omega.

Iwe iweje kumpenda Mungu hakuongopi tena zaidi kunalipa na chenchi inabaki. Kuishi maisha ya amani na watu wanaokuzunguka, kutoa kwenye foundations, vituo vya watt yatima, wajane, kusaidia watu waishio katika hali ngumu kwenye jamii yako, hospitali kwenda kuona wagonjwa, hata jela kwa wafungwa, inshort utoaji in general.

Kama ni kwenu kuwekeza katika kujali wa kwenu pia kwa kiasi chako. Na zaidi kujijenga wewe binafsi. Kuanzia akili, uchumi, kuwekeza kwenye mambo kadha wa kadha ili vikuletee maendeleo baadae. Lakin sometimes wanadamu tunapenda kulearn the hardway. Mpaka litukute jambo ndo tunajifunza lakin tunakua tushaumia sana na kulia mno.

Furaha yako itoke katika kumcha Bwana. Mimi ni mwanamke lakini ninaomba kila siku Mume wangu ampende Mungu mno kuliko mimi. Apate furaha yake kwa Mungu. Utauwa na uchaji umpe furaha. Maana akinipenda sana ninaweza kuja kumtesa ama kumuumiza one day you never know. Ninaweza maybe kuja kumdisappoint afu ule upendo kwangu ukageuja uadui mkubwa.

Lakin akimpenda Mungu kwanza kwa moyo wote, ataishi na mimi kwa akili, ataijali familia yake, hatakuwa mbinafsi na tutafanya mambo kwa kushirikiana na kwa upendo huku tukimtii Kristo. Ni kweli tupendane lakin tuwe na kiasi. Ukimpenda Mungu utaweza kumpenda mume ama mke wako rightly..kwa kiasi na sio excessively huku tukigeuza partners kama idols wetu..tembea kwa step.
 
Utapata mwingine mauricio zaidi mpaka utajiona kubwa jinga kumlilia mshamba mmoja hivi. Tembea uone eti wanadai Twiga ni mzuri sana hivi ushawahi ona penguin kweli
Hutu tujamaa tu Penguin ni tuzuri sana man huwa tunanifurahisha sana..........
 
Achana na hisia ,tumia akili boss.
Ulikosea kumfumania na kumsamehe ,huyo ataendelea kusaliti hata huko alikokimbilia,msaliti siku zote ni msaliti tu, we kaa pembeni funga vioo usimfuatilie .
Pambana utampata wa ubavu wako.

Hivi kwan kwenye account yako huna chenji uanze kwenda viwanja kidogo ,nenda viwanja kajipongeze ukutane na watu wenye upendo wao
 
Kinachokuumiza hapo ni mazoea.

Kuna Uzi nilishawahi kuandika, yapata miaka kadhaa nyuma, kwamba "Mapenzi ni kama maigizo, kila mmoja anakuja na script yake. Mwenye script ndefu ndio huumia"

Kiufupi script ya mwenzako imefika mwisho, now ameanzisha script nyingine, kwa mtu mwingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom