Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

CIA mgumu

JF-Expert Member
Aug 8, 2022
962
1,924
Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme.

Je ni vitu gani vingine muhimu karibuni
 
we fungua offisi utahost kwenye server za serikali au nje ya nchi unapiga commission yako maana utahitaji generator, fiber internet yenye speed, server zenyewe, operation cost yako itakua juu sana wangine watakua na bei ya chini na huduma bora kuliko wewe
 
Hivyo vyote nilishapigia hesabu nachotaka kujua haswa vifaa vya kuimport kutoka nje na ni kampuni gani ambayo ni bora zaidi
 
Mkuu unaongelea kitu cha kitaalam, utapewa majibu ya ki theory zaidi ila kupata jibu la kitaalam fanya feasibility study.

Inawezekana kuna cost ambazo zinatokea tu mahali ulipo ambapo sehemu nyengine hazitokei,

Utahitaji pia Ip adress toka TTCL/TCRA, software za kuhost, internet si nguvu tu bali ping muhimu, hizo server storage si za kawaida tu unahitaji yenye I/O ya maana etc.
 
Thanks hata kwa hapa umenifungua jicho na ubongo
 
Back
Top Bottom