dafuzima
Member
- Apr 8, 2018
- 92
- 67
Habari za majukumu wakuu, kama kichwa Cha habari kinavyojieleza naombeni Kwa mtu mwenye MAWASILIANO, namba za simu au hata email ya kumpata Dkt. Msonde anisaidie nna shida personal ya kumweleleza, maana naona moyo wangu utapasuka, nsaidieni ndugu, kama unayo plse nitumie pm yangu nimtafte anisaidie,
Ntashukuru Sana nikisaidiwa, asanteni
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Ntashukuru Sana nikisaidiwa, asanteni
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app