Naomba kwa anayefahamu kuhusu Kaparama Professional Recruiters Ltd

Jina lenyewe linatia shaka "Kaparama" maana yake nini sasa? Angalia usiibiwe
 
Jina lenyewe linatia shaka "Kaparama" maana yake nini sasa? Angalia usiibiwe
mimi nawafahamu vizuri wanapatikani mabibo external after ofisi za TDFA opposite na kanisa la KKKT kama sijakosea.nmepata kazi kupitia iyo recruitment agent na ulipi ata shilingi coz wao wana clients ambao wakiwapelekea mtu jamaa ana rise invoice analipwa pesa yake.sio matapeli na hao jamaa ni better uende ofisini uongee nao uwaambie all ur staffs nirahis kukutafutia opportunity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…