Naomba kujuzwa utaratibu na nauli ya Treni kutoka Dar to Moshi

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,713
Sijawahi kubahatika kupanda treni kabisa katika maisha yangu

Nataka nisafiri nayo kutoka Dar kwenda Moshi

Utaratibu upoje? Na safari huanzia wapi?na ofisi zipo wapi!?

Nauli zipoje na kila daraja linakuaje?

Na vipi muda wa safari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time jiongeze mkuu, hayo mambo yameshajadiliwa humu sana tu, pia kuna uzi wa shirika la reli humu ungeingia kule na si kufanya ulichofanya
 
1.Treni inaanzia safari pale stesheni jirani na polisi.
2.Nauli inaanzia shs15000+, 26000+ mpaka 35000+ na safari inaanza saa 1700hrs mara tatu kwa wiki, kifika moshi ni asubuhi kuanzia saa 0700hrs.

Usisahau kutupa mrejesho, ukifika.
 
Asante sana vipi safar za moshi huwa ni lini na lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Treni inaanzia safari pale stesheni jirani na polisi.
2.Nauli inaanzia shs15000+, 26000+ mpaka 35000+ na safari inaanza saa 1700hrs mara tatu kwa wiki, kifika moshi ni asubuhi kuanzia saa 0700hrs.

Usisahau kutupa mrejesho, ukifika.

Bei za nauli ni 16500, 23500 na 39,000 izi bei ulizo weka ni zako sio za shilika la reli

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jumanne, Alhamisi na Jumamosi.
Hii ni kwa kutokea Dar.

Mkuu nakushauri kama haujui kitu ni bora ukae kimya au ufanye uchunguzi ndipo ujikite kwenye mada
Kuanzia nauli mpk siku unapotosha siku za safari ni J3,J5 na Ijumaa kutoka dar kwenda moshi na Moshi-Dsm ni J4,Alhamisi na Jumamosi

Bei ya chakula ni 4000 chips kuku na 3000 chips nyama ya ngombe, bia ni 2500 kwa 2000 , soda, Maji ni Tsh 1000/=
Tiketi wanakatia pale kamata ukivuka mataa tu dirisha la kwanza na sio stesheni Mjini

Viambata ni pamoja na kitambulisho chako cha taifa au Kura au barua kutoka serikali ya mtaa inayokutambulisha
Kama unamtoto chini ya umri wa miaka 13 analipa nusu nauli ya mtu mzima

Safari zote ni saa 10 kuondoka ila kuwasili kituoni ni kuanzia saa 9
Uzito wa mzigo unategemea na daraja unalokata mfano daraja la 3 inabidi uwe na mizigo isiyozidi kilo 20 ikizidi unalipia elfu 9500

Safari njema

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ulikuwa wapi kumjibu?
Kama ni mfanyakazi wa shirika kwa nini mpaka uone upotoshaji?

Kama ni upotoshaji umeuona wewe, hapo ni kukosea that why kama una akili unaweza kuona hizo + na siku za treni ni za kutokea Moshi.

Jifunze kuelewa.

Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa wapi kumjibu?
Kama ni mfanyakazi wa shirika kwa nini mpaka uone upotoshaji?

Kama ni upotoshaji umeuona wewe, hapo ni kukosea that why kama una akili unaweza kuona hizo + na siku za treni ni za kutokea Moshi.

Jifunze kuelewa.

Acha kuvunga Abunwasi na kichwa Panzi aukuona uko juu nlijibu comment zake aliyeuliza lakini pia sio kila anae jibu au kutoa maelezo anafanya kazi TRC.

Kukubali kua ulikua hauna uelewa thabiti ni kitu kizuri apo juu ulitoa maelezo kua izo siku niza kutoka dar kwenda Moshi now umebadilisha ulitoa maelezo kwamba kituo ni stesheni kumbe sivyo kaa chini jitathimini mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ulikuwa wapi kumjibu?
Kama ni mfanyakazi wa shirika kwa nini mpaka uone upotoshaji?

Kama ni upotoshaji umeuona wewe, hapo ni kukosea that why kama una akili unaweza kuona hizo + na siku za treni ni za kutokea Moshi.

Jifunze kuelewa.
Sasa hiyo ya 26+ ndio ipi?
 
Back
Top Bottom