Naomba kujuzwa uhalali wa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
Kuna chuo kinaitwa Ebonite cha Kimara Bucha kinatoa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili.

Hii diploma ni halali na nikitaka kuthibitisha uhalali wake nafanyaje!?
 
Mpeleke huyo kijana Veta mkuu,

Ufundi AC, Umeme wa magari, Ufundi mitambo, nk

Kama ni wakike mpeleke Mweka, Chuo cha nyuki, Fisheries bagamoyo, Ardhi tabora etc...

Au kama una mtaji mpeleke ufundi ushonaji Don bosco ni bure...

Nakutakia mapambano mema kiongozi
 
Back
Top Bottom