Naomba kujuzwa majukumu na utendaji kazi wa community health worker

la fiducia

JF-Expert Member
Mar 13, 2016
212
168
Habari zenu wakuu? Tafadhali mi naomba kujuzwa majukumu na utendaji kazi wa community health workers.

Na kingine diploma yake IPO? Pia ajira zake zipoje, ukimaliza unaajiriwa moja kwa moja au utaratibu uppeje?

Naomba msaada kwa anaefaham tafadhali.

Ahsante.
 
Tukianza na majukumu, community health kazi yake ni ushauri wa masuala ya kiafya katika maeneo mbalimbali hospital na nje ya hospital hasa maeneo ya vijijini.
 
Tukianza na majukumu, community health kazi yake ni ushauri wa masuala ya kiafya katika maeneo mbalimbali hospital na nje ya hospital hasa maeneo ya vijijini.
Ahsante nimekupata kama kuna la zaid naomba uendelee kunifahamisha!
 
Hakuna diploma ya community health kwa Tanzania hii ila ukimaliza community health na kupata cheti unaweza kusoma diploma au coz yoyote ile ya afya yaani kwa lugha nyingine inakuwa kama umeifuta f ya somo la physics
 
Community health ukisha soma tu unapangiwa kazi moja kwa moja na wizara kwani coz hii ilikuwepo toka muda ila kutokana na uchache wa wa hudumu wa afya wizara ikaamua coz hii itolewe na vyuo vyote kuanzia mwaka jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…