Naomba kujuzwa kuhusu gari aina ya Toyota Corolla Runx

Feb 10, 2015
20
7
Habari ndugu,

Naomba mwenye ufahamu mzuri juu ya gari aina ya Corolla Runx,.sifa zake na kasoro hama changamoto zake.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app

1615039060700.png

Toyota Corolla Runx
 
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Yenyewe man.

Tofauti pekee: AC unit ilikua ile ya buttons sio iyo ya kunyonga ivo vi dials, na Radio iliwekwa mchina ina ka screen ingawa sio issue.

Vingine hadi injini NZ-FE naona mulemule.

Challenges kubwa nilizowahi kutana nazo:

1. Ilizingua upande wa abiria mbele kupandisha kioo, yaan ukiwa kwa dereva hauwezi pandisha kioo lazima upandishie upande ule ule wa abiria.

2. Fuel pump ilikufa (bei laki 1) napo ni kwasababu nilikua natembelea taa imewaka ya wese sanaaa. So uzembe wangu.

3. Nishawahi zidisha kilometa za service. Kidogo ikapungua performance. Nikaja badirisha oil, plug, ATF, aisee ilirudi ikawa kama mpya.

4. Suspensions zilizingua nikanunua mpya. Mchina. Ila tatizo kupata OG ila ukipata nadhani fresh.

5. Ilikua chini kinoma. Na sikutaka ipandisha juu. Aisee gari ya chini ina mzuka wake.

6. Nilitendea dhambi nyingi sna humo. Kwahiyo viajali vya hapa na pale vikawa sana tu. Ingawa sijawahi pata a serious ajali ipo stable sana road.

Nimepiga sana Uber na Taxify enzi zile.

Safari ndefu ni Mwanza mara 2, Iringa mara 3, Ifakara mara 2, Lindi na Mtwara mara 1, Morogoro town iyo kila mwezi.

Sijajutia.
 
Asante sana mkuu,.shukrani bro

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nayo ya 2004 Runx X, ishu pekee ilikuwa ni AC compressor yake ilikata 'pulling' kama sijakosea, nilibadrisha ikawa safi. Nilizingatia service on time na mafuta always zaidi ya nusu tank haijawahi niangusha.
 
Yenyewe man.

Tofauti pekee: AC unit ilikua ile ya buttons sio iyo ya kunyonga ivo vi dials, na Radio iliwekwa mchina ina ka screen ingawa sio issue.

Vingine hadi injini NZ-FE naona mulemule.

Challenges kubwa nilizowahi kutana nazo:

1. Ilizingua upande wa abiria mbele kupandisha kioo, yaan ukiwa kwa dereva hauwezi pandisha kioo lazima upandishie upande ule ule wa abiria.

2. Fuel pump ilikufa (bei laki 1) napo ni kwasababu nilikua natembelea taa imewaka ya wese sanaaa. So uzembe wangu.

3. Nishawahi zidisha kilometa za service. Kidogo ikapungua performance. Nikaja badirisha oil, plug, ATF, aisee ilirudi ikawa kama mpya.

4. Suspensions zilizingua nikanunua mpya. Mchina. Ila tatizo kupata OG ila ukipata nadhani fresh.

5. Ilikua chini kinoma. Na sikutaka ipandisha juu. Aisee gari ya chini ina mzuka wake.

6. Nilitendea dhambi nyingi sna humo. Kwahiyo viajali vya hapa na pale vikawa sana tu. Ingawa sijawahi pata a serious ajali ipo stable sana road.

Nimepiga sana Uber na Taxify enzi zile.

Safari ndefu ni Mwanza mara 2, Iringa mara 3, Ifakara mara 2, Lindi na Mtwara mara 1, Morogoro town iyo kila mwezi.

Sijajutia.
Ni gari nzuri sana kwa mishe za town ata safari ndefu Dar -Dom nimesogea nayo sana .Ishu ya kioo ata mimi imeshawai nikuta nayo sana ila kuna muda inafanya kazi ata kwa upande wa dereva

Spare parts zipo nyingi bei ni nzuri pia wanasema vitu vingi inaingilina na Raum 2nd generation
 
Yenyewe man.

Tofauti pekee: AC unit ilikua ile ya buttons sio iyo ya kunyonga ivo vi dials, na Radio iliwekwa mchina ina ka screen ingawa sio issue.

Vingine hadi injini NZ-FE naona mulemule.

Challenges kubwa nilizowahi kutana nazo:

1. Ilizingua upande wa abiria mbele kupandisha kioo, yaan ukiwa kwa dereva hauwezi pandisha kioo lazima upandishie upande ule ule wa abiria.

2. Fuel pump ilikufa (bei laki 1) napo ni kwasababu nilikua natembelea taa imewaka ya wese sanaaa. So uzembe wangu.

3. Nishawahi zidisha kilometa za service. Kidogo ikapungua performance. Nikaja badirisha oil, plug, ATF, aisee ilirudi ikawa kama mpya.

4. Suspensions zilizingua nikanunua mpya. Mchina. Ila tatizo kupata OG ila ukipata nadhani fresh.

5. Ilikua chini kinoma. Na sikutaka ipandisha juu. Aisee gari ya chini ina mzuka wake.

6. Nilitendea dhambi nyingi sna humo. Kwahiyo viajali vya hapa na pale vikawa sana tu. Ingawa sijawahi pata a serious ajali ipo stable sana road.

Nimepiga sana Uber na Taxify enzi zile.

Safari ndefu ni Mwanza mara 2, Iringa mara 3, Ifakara mara 2, Lindi na Mtwara mara 1, Morogoro town iyo kila mwezi.

Sijajutia.
Maelezo yametulia sana
Maelezo ya kisomiii
 
Back
Top Bottom