Naomba kujua kuhusu TAMISEMI agencies

A teller

JF-Expert Member
Feb 6, 2018
523
713
Habari zenu wakuu

Naomba kufahamishwa kuhusu agencies zilizo chini ya TAMISEMI ukiachana na Halmashauri, Manispaa na Majiji
Je , TAMISEMI zina agencies zake zingine ambazo zinasimamia??

Uzi tayari
 
1-Tarura
2-Chuo cha serikali za mitaa hombolo Dodoma
3-Wakara wa usafiri wa haraka dar es salaam(UDART)
4-Bodi ya mikopo Serikali za mitaa
5-Shirika la masoko kariakoo
6-Tume ya utumishi wa walimu(TSC)
7-Shirika la elimu kibaha.
 
Ahsante sana Mkuu
 
Uzi ufungwe
 
Back
Top Bottom