L Leompasa Member Oct 19, 2016 11 4 May 21, 2017 #1 Hivi ni athari gan za utandawaz zinazoikabili jamii ya Kitanzania kwa sasa,maana nimekuwa nikisikia kila kitu utandawaz naomba msaada wenu
Hivi ni athari gan za utandawaz zinazoikabili jamii ya Kitanzania kwa sasa,maana nimekuwa nikisikia kila kitu utandawaz naomba msaada wenu
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,421 112,074 May 21, 2017 #2 Kupoteza muda kwenye mitandao badala ya kufanya kazi kama wewe sasahivi.
MR MAJANGA JF-Expert Member Oct 4, 2014 3,428 10,668 May 21, 2017 #3 Babati said: Kupoteza muda kwenye mitandao badala ya kufanya kazi kama wewe sasahivi. Click to expand... Wewe na mleta mada tofauti yake nini?
Babati said: Kupoteza muda kwenye mitandao badala ya kufanya kazi kama wewe sasahivi. Click to expand... Wewe na mleta mada tofauti yake nini?
MR MAJANGA JF-Expert Member Oct 4, 2014 3,428 10,668 May 21, 2017 #4 Leompasa said: Hivi ni athari gan za utandawaz zinazoikabili jamii ya Kitanzania kwa sasa,maana nimekuwa nikisikia kila kitu utandawaz naomba msaada wenu Click to expand... Athari chache za utandawazi ni kuongezeka kwa mashoga, watoto kujua mambo mabaya, wanaume na wanawake kuvaa nusu uchi, kujichubua, utovu wa nidhamu, kupunguza upendo, kudumaza akili hili utaona hata baadhi ya comments za wachangiaji nk
Leompasa said: Hivi ni athari gan za utandawaz zinazoikabili jamii ya Kitanzania kwa sasa,maana nimekuwa nikisikia kila kitu utandawaz naomba msaada wenu Click to expand... Athari chache za utandawazi ni kuongezeka kwa mashoga, watoto kujua mambo mabaya, wanaume na wanawake kuvaa nusu uchi, kujichubua, utovu wa nidhamu, kupunguza upendo, kudumaza akili hili utaona hata baadhi ya comments za wachangiaji nk
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,421 112,074 May 21, 2017 #6 MR MAJANGA said: Wewe na mleta mada tofauti yake nini? Click to expand... Pamoja na wewe
gachuru one Senior Member Oct 31, 2014 119 52 May 21, 2017 #7 Ayo maswal nenda Google watakujibu vizur sana