Habari za wakati huu wadau???
Mimi ni mwanafunzi wa Advanced level ambaye nachukua mchepuo wa HGL, kitu ambacho nataka kufahamu ni kuwa je kutokana na mchepuo huo naweza kusoma computer science nikija kufika chuo kikuu??
kwanini huwezi hata kuchambua mambo wewe umesoma art halafu unataka kusoma computer science hizi si bangi huwezi kutofautisha neno art na science take care wewe jipu

kama unavigezo vya o'level yaan walau pass za masomo ya science na unaipenda hiyo kozi basi achana na advance kapige certificate, diploma then chuo wa2 ckuhiz hawaangalii combi na njia ziko nying za mafanikio na hiyo comb yenyewe haina mkopo