Naomba kufahamu kisimbusi kitakachoonesha Euro 2016 mbali na DSTV

Hizi decorder katika nchi yoyote ya Middle east. Kwa urahisi Dubai kila sehemu unapata na una activate kabisa. Kabla hujanunu tafuta signal kwanza toka Eshal satelite usije kununua wakati signal haipatikani.
 
Ila najuwa kuna watu Dar signal wanapata ni muhimu kupata fundi atakupa details zote. Tatizo mtu ukifungua rasmi sehemu ya kuuza Dstv wataleta tabu.
 
Kachukue Bein sport tu, league zote duniani hata hivyo ilikuwa dola mia tu kwa mwaka mpaka waluvyoanza kuonesha Epl imepanda 200$. Siku hizi wameongeza movie channels kama 9 na Geographic km 3. Zote ni HD tu
Kinapatikana wapi manake nikienda mikoani wanaenjoy sana
 
Coper America inaanza tarehe 04.06.2016
Na ili kombe ltakuwa poa vile vile
 
Naona AZAM TV wametulaghai, kwenye matangazo yao wanasema wataonyesha mechi 51 (yaani mechi zote za mashindano)but mpaka sasa wametuonyesha mechi mbili tu na kuna mechi zaidi ya saba zimeshachezwa....either wangetuambia kama wana percent flan ya haki za kuonyesha hizi mechi au walikuwa wanaonyesha kwa magumashi so wenye haki zao wameshtukia na kuwapiga mikwara.............namna hii unaweza kuwashtaki hawa jamaa kwa ku-tumislead....hii ni fraud kabisa wametufanyia, tumeacha kununua ving'amuzi vya uhakika tumenunua cha kwao halaf tunakutana na hizi mambo.
 
Ngoja waje bt jiandae maana majibu mengine yatakua hayaendani na mada@
kuna channels mbili Azam TV zinaonesha. juzi niliangalia mechi ya England against Russia mwanzo mwisho ni ya kiarabu. mtoto wangu ameniambia wanaonesha mechi zote.
 
kuna channels mbili Azam TV zinaonesha. juzi niliangalia mechi ya England against Russia mwanzo mwisho ni ya kiarabu. mtoto wangu ameniambia wanaonesha mechi zote.
Of coz, hata mimi niliangalia game ya Russia na england kupitia ZBC2 also UBC walionyesha, hapo juu nimesema kuwa kati ya mechi saba zilizokwisha chezwa wameonyesha game mbili tu, yaani game ya ufunguzi na game ya ENGLAND VS RUSSIA, jana hakuna mechi waliyoonyesha live sana sana walikuwa wakirudia mechi ya england.

Labda kwa msaada kama unaweza kunipa majina ya hzo chanels za kiarabu nikajaribu leo.
 
Back
Top Bottom