K kumbwitu Member Apr 11, 2017 19 11 May 8, 2017 #1 Habari za mihangaiko members, Naomba kufahamu kama mitihani ya ufundi ya VETA grade test /lever inaweza kumpa sifa mtahiniwa kuendelea na elimu za juu kama diploma, mpaka degree kwa gani ambayo amechukua asanteni.
Habari za mihangaiko members, Naomba kufahamu kama mitihani ya ufundi ya VETA grade test /lever inaweza kumpa sifa mtahiniwa kuendelea na elimu za juu kama diploma, mpaka degree kwa gani ambayo amechukua asanteni.