Wakuu,
Kwa wale wenyeji wa Busega,ningependa kufahamishwa:
a)Hali yake ya hewa,
b)Yalipo makao makuu ya wilaya
c)Kata zilizo pembezoni ma Ziwa Victoria
d)Umbali kutoka Makao Makuu ya Wilaya mpaka Mwanza Mjini
e)Kata au kijiji kilicho karibu na Mwanza!
f)Na ardhi yake ikoje?
g)Fursa zipi zipo?