Nani unamkubali humu JF akikupa ushauri?

Habari wakuu,

Nauliza humu jukwaani kuna watu wanaomba ushauri kwa mambo yao au mambo ya mtu mwingine. Sasa ni nani ambaye akikupa ushauri unaridhika au akitoa ushauri kwa mtu mwingine ushauri huwa na mashiko?

Kwa hiyo kama unamkubali mtu fulani ushauri atakaokupa ndo huo huo?

Nakushauri ubadili mfumo mkuu, ukiomba ushauri pitia kila kimoja kitachoandikwa, angalia ni kipi kinakufaa kulingana na shauri lenyewe then fanya maamuzi.

Hakuna anayejua kila kitu humu JF, so ukijibana kwenye kukariri eti ni mpaka ushauriwe na flani utakuja kulishwa matango pori siku moja.
 
Habari wakuu,

Nauliza humu jukwaani kuna watu wanaomba ushauri kwa mambo yao au mambo ya mtu mwingine. Sasa ni nani ambaye akikupa ushauri unaridhika au akitoa ushauri kwa mtu mwingine ushauri huwa na mashiko?
Mkuu napendekeza unge weka mchanganuo wa ushauri, sababu hakuna mtu anaweza kuwa mzuri kwa kushauri kila kitu. weka labda mambo ya kifamilia nani mkali, mambo ya kibiashara nani mkali, mambo ya mapenzi nani mkali na etc, hapo utapata matokeo mazuri ya utafiti wako lakini vinginevyo utapata vague results.
 
Karume kenge yuko juu japo mada zake nyingi zinaonyesha sio msomi halafu upeo wake ni mdogo Sana.
Ni mtu wa kuiga iga mada za watu.
Kwa ushauri wa mambo madogo madogo ya kitoto namkubali sana
Dah mkuu umeamua kuniua sawa bwanaa
 
Back
Top Bottom