Nani awajibike kwa uteuzi unaogongana wa wakuu wa wilaya na wakurugenzi? watumishi hewa watakwisha?

Hofu na uoga wako ndo vinakupeleka huko. Pole utaaki hapohapo. ni wakati wa mabadiliko.
Utaaki=? Punguza mhemko, naona hofu na uoga mpaka unaandika visivyoeleweka kumbuka huu mchezo hauhitaji hasira.
Nayakubali haya mabadiliko kwa kuwa yanaonyesha hivi:


13442220_850937651679617_8163174399678132478_n.jpg
 
Ungejua tu hili neno "watumishi hewa" ni sifa ya kutosha na imemjengea imani kiongozi aliyelibua kwa anawaongoza usinge hangaika kuja na hii hoja yako.
Meli Chakavu, Nyumba za umma, kuhamisha Fedha za umma kienyeji, kukanyaga katiba, kuchakachua Katiba na Uchaguzi, kujichanganya katika kuteua watumishi wa umma kinyume na kauli ya kuzuia ajira za umma.

Umaarufu upi mkuu?
 
Nikivuta hisia namwona Mhe.Simbachawane usoni yuko neutral lakini moyoni analia. Analia kwa sababu watu muhimu wa kufanya nao kazi wengi wao hawajui hata pakuanzia. Amesukumiwa watu tu==eti makada==hv ktk local gvt hakuna watumishi wenye sifa halafu makada==wengi sana==sidhani kama una la kufanya, kaa kimya, umia ndani kwa ndani, ukionyesha kutoridhika, utatumbuliwa. Simbachawene unajua kwamba hao wateule ambao hawana sifa watakaribishwa na maafisa wa halmashauri waliokata tamaa (demoralised). Vyeo walivyostahili kuvipata wao kwa mujibu wa sheria na kanuni za utumishi, leo wanaletewa strangers!! Kazi unayo mheshimiwa. Huko Kuna enda kutokea mambo mawili== ama wakurugenzi watakuwa maboya yaani wataendeshwa na maafisa wazoefu na madiwani au watakuwa ma dikteta kulazimisha mambo yaende watakavyo. Yote yatakuwa na matokeo hasi kwa wakurugenzi hao na kwa halmashauri. Jiandae kisaikolojia mhe. Simbachawene na mm nakuombea Mungu akulinnde na dhoruba ijayo. Pole Sana.
Tokea jana unapost hii pumba yako, kila thread unapost point moja tu.
 
Hivi yeye Waziri mwenye dhamana hana chochote cha kuongea kwa Rais kuhusu uteuzi?Mimi siamini hali hiyo,uteuzi huu na yeye Simbachawene atakuwa ameuafiki .Ila wakae watambue kuwa wamewavunja nguvu watendaji wa serikali za Mitaa.
 
Back
Top Bottom