Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,137
- 3,323
Mtu anaefaa kuwa IGP kwa maoni yangu kama MANGU AKISTAAFU NI ALIEKUA KAMANDA WA MKOA WA MWANZA
kamanda BARO
yule ni msomi
Halafu anaongozwa na busara sana na muadilifu sana
NAMUOMBEA MEMA SIKU MOJA AJE AWE
Wewe upo dunia gani? Hujui kama huyo kamanda alishafariki kwa kupigwa risasi na majambazi?