Kuelekea 2025 Namshukuru Rais Samia napata mshahara ninaostahili kama Bingwa katika fani yangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.

Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Nikikumbuka kipenzi chetu Imaam Hussein alivyouwawa kikatili kuulinda na kuutetea uislamu ninalia sana.

Kupitia yeye leo Allah katupa Tawfiq.

Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam.
 
Kwa hiyo umetoa huu uzi ili utuoneshe jinsi ulivyopanda cheo mara mbili na mshahara unaokidhi mahitaji yako ili tukusaidie nini, kwa ajili ya nini na kwa manufaa ya nani? Tupunguze tu unnessary exposure sometimes ni UJINGA.
 
sawa Dr hapo kwenye 32 M za hesbl bado unadaiwa ngapi??
Screenshot_20240716-193431~2.jpg
 
Wanaosema mi5 tena wanamaanisha.

Katika kipndi cha miaka minne nimepanda cheo mara mbili, nimefikia pale nilipo dream go years back Na sasa napata mshahara wa daktari Bingwa. Asante Mama samia. Huna baya
Unalipwa stahiki yako kulingana na elimu pamoja na juhudi zako au unalipwa kutokana na upendeleo na fadhila za Samia!?

Wasomi wetu nao mtihani kweli kweli.
 
Back
Top Bottom