aliomba risiti kutoka kwa muuzaji kama anavyosisitiza watanzania wafanye?Wadau,
Kwenye magazeti niliyoyakuta mezani, moja ya taarifa ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli, aliiingia kwenye mgahawa pale Airport ya Mwanza na kula chakula cha Ths 5000 yeye na mkewe = Tsh 10,000. Mgahawa huo unauza kikombe cha chai Tsh. 200, ina maana ingekuwa ni asubuhi...Rais na mkewe wangetumia Tsh. 400 kwa vikombe viwili vya chai. Huku ni kubana matumizi na mfano wa kuigwa.
Hili jambo Obama hulifanya mara kwa mara, kuingia kwenye mgahawa kama raia wengine na kukaa, kula na kusalimia wananchi bila mbwembwe za walinzi au shamrashamra za mapokezi.
Hapa Kazi Tu.
hiyo mbona kawaida tu! Kinana na Nape waliwahi kuingia kwenye vibanda vya gongo huko Tabora kubana matumizi ya bia,soda na maji!
Wewe upo moyoni mwake?Magufuli anachofanya ni kitu cha kweli toka moyoni
Sasa sisi itatusaidia nini si bora asile kabisa. yanini kula kupata taabu ya kunyaWadau,
Kwenye magazeti niliyoyakuta mezani, moja ya taarifa ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli, aliiingia kwenye mgahawa pale Airport ya Mwanza na kula chakula cha Ths 5000 yeye na mkewe = Tsh 10,000. Mgahawa huo unauza kikombe cha chai Tsh. 200, ina maana ingekuwa ni asubuhi...Rais na mkewe wangetumia Tsh. 400 kwa vikombe viwili vya chai. Huku ni kubana matumizi na mfano wa kuigwa.
Hili jambo Obama hulifanya mara kwa mara, kuingia kwenye mgahawa kama raia wengine na kukaa, kula na kusalimia wananchi bila mbwembwe za walinzi au shamrashamra za mapokezi.
Hapa Kazi Tu.
tena viazi vitamu, vile vyekundu.serious
Angekula menyu ya laki nane kama yule jamaa yenu ingekuwa anafuja hela za familia yake???
Au si wewe ungekuja kulalamika hapa pesa ya uma inatumika vibaya.
Wakati mwingine wabongo ni viazi sana.
Haya tumekusikia, na utaingizwa kwenye yale mashindano yanayoendelea nchi nzima, maarufu kama "mashindano ya kutoa pongezi kwa JPM, kumfanya mungu mtu na kuwashambulia wanaomkosoa"....Wadau,
Kwenye magazeti niliyoyakuta mezani, moja ya taarifa ni kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli, aliiingia kwenye mgahawa pale Airport ya Mwanza na kula chakula cha Ths 5000 yeye na mkewe = Tsh 10,000. Mgahawa huo unauza kikombe cha chai Tsh. 200, ina maana ingekuwa ni asubuhi...Rais na mkewe wangetumia Tsh. 400 kwa vikombe viwili vya chai. Huku ni kubana matumizi na mfano wa kuigwa.
Hili jambo Obama hulifanya mara kwa mara, kuingia kwenye mgahawa kama raia wengine na kukaa, kula na kusalimia wananchi bila mbwembwe za walinzi au shamrashamra za mapokezi.
Hapa Kazi Tu.
Kikwete alikuwa hadi anakaa chini akikutana na walemavu ili kuonyesha eti anawaonea huruma na kuringana nao vipi kwa sasa unaamini kuwa alikuwa anamaanisha hivyo?Wadau,