BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,124
Mwambie Mkuu labda ana ugonjwa.
Kuna siku nilikuwa nachat nae, basi nikamuambia kuna tatizo nitakutafuta tushirikiane kulitatua, ila nikamuomba asiniulize ni nini. Kweli hakuniuliza, akasema sawa. Ugumu unakuja, naanzaje kumuambia tutatue tatizo la kunuka k yako. Nimejikuta nimepiga kimya, nayeye hajawahi kuniuliza tena.