King Victor JF-Expert Member Feb 19, 2016 463 293 Jun 21, 2016 #1 Wakuu habari zenu.Jamani msaada kwa mtu anaefahamu namna ya kuomba funguo nyingine kwa sanduku la barua(posta) iliyopotea.
Wakuu habari zenu.Jamani msaada kwa mtu anaefahamu namna ya kuomba funguo nyingine kwa sanduku la barua(posta) iliyopotea.
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,966 35,152 Jun 21, 2016 #2 nenda posta kuna faini utalipia halafu wakupe funguo nyingine
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,966 35,152 Jun 21, 2016 #4 King Victor said: Asante sana mkuu Click to expand... Pole sana King Victor
King Victor JF-Expert Member Feb 19, 2016 463 293 Jun 21, 2016 Thread starter #5 CHIKIRA MTABARI said: Pole sana King Victor Click to expand... Nashukuru mkuu
mwandiga JF-Expert Member Dec 5, 2011 1,506 664 Jun 21, 2016 #6 Katoe taarifa polisi kisha nenda posta uwaambie, utalipa fedha sio nyingi sana kisha wataweka kitasa kipya na kukupa nyingine tena 2 .
Katoe taarifa polisi kisha nenda posta uwaambie, utalipa fedha sio nyingi sana kisha wataweka kitasa kipya na kukupa nyingine tena 2 .