Swali mkuu lilikuwa umewahi wewe mwenyewe kushuhudia ? yaani mtu unaemjua alikufa , akazikwa na baade ukamuona na kumtambua kikamilifu kua ndie aliefariki.Mbona hao wengi tu, ila hatuamini kutokana na vichwa vyetu kujazwa mambo ya kimagharibi, ila ukweli misukule IPO tena ni wengi tu na tunaishi nao kwenye mazingira yetu, tunakula nao pia .
Mara nyingi tumesikia habari ni mtu kasikia lakini hajaona mwenyewe