Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Hapana mkuu.... Iyo ya Whatsapp mbili katika sim moja ni case nyingne.... Ukitaka kurun Whatsapp mbili kwenye sim moja download application ya whatsapp nyingne inaitwa GBWhatsApp....
Shukran mkuj nimeshadownload gb WhatsApp,nifannye nn sasa
 
Shukran mkuj nimeshadownload gb WhatsApp,nifannye nn sasa
Fanya usajili sasa kama kawaida ulivofanya katika ile Whatsapp ya kawaida..... Ila tumia namba ingine ambayo iko hewan au unayotumia unayotaka kuiunganisha whatsapp sasa... Usirudie ileile uliofungulia kwingine.....
 
iyo haiwezi fanya hivi.
Uwe una wafollow na kuwa unfollow wale wasanii wakubwa wa mbele fanya hivyo zaidi ya mara kumi kwa dak10 au zaidi lazima utaona followers wanakuja
 
Download app moja ivi inaitwa "primo" kutoka play store kisha fanya ku register account then after confirmation kuna namba utapewa pale ya USA ichukue na uicopy pembeni... Aya fungua whatsapp yako na kwenye kuingiza namba eka country code ya USA ambayo inaanzaga na +1 ____ ikifuatia na namba husika za nchi hiyo ivo baada ya kuselect io code eka sa iyo namba ya USA ulotoa kwenye primo....... Ila kumbuka kwenye kuconfirm whatsapp codes chagua "Call" whatsapp itapga kule kwenye primo.... na ustumie kutumiwa codes kwa"SMS" course hutoipata io text ilio na codes ndio maana nmekuambia chagua by "CALL" kisha endelea na usajili as normal mkuu......

Swali la kizushi... Mkuu kwann ustumie tu No. Yako tu ya kawaida mpaka unataka ya USA...!?
Umenikumbusha mbal mkuu michezo hii nilifanya nyuma kidogo bt acc ilivyopotea nilishindwa kuirudisha ilinibid nifungue nyingne sasa shida iliyopo sasa utaratibu wamebadilisha mkuu lazm ununue ile kupata free hamna maana nilimajaribia kijana mmoja ikanichallange mwisho wa siku inataka uingize atm ako card # kwa.ajil ya maalipo.
 
Kumbe unailipia........ Mie nime imegoma kwenye ku verify number whatsApp, nimeweka call me Ila hawanipigii simu, sijui kwa nn
Mkuu hapo ndo inaposumbua jaribu mara kwa mara mpka simu itaingia tu..mm wakat nafunguaga nyuma huko ilinichukua siku mbil.. mpk kupata verification code ..
 
Shukrani mkuu nakuombea ujana mrefu mana uzee mateso..


Dalili za kwenda USA sizioni kabisa sasa nishindwe hata kutumia namba ya USA kweli? hebu nisafishe nyota kwa kuanza kutumia namba zao kwanza aseee khaaa Maisha haya
Hahahaha, kwel mzee Magu hawez muacha mtu salama
 
Kumbe unailipia........ Mie nime imegoma kwenye ku verify number whatsApp, nimeweka call me Ila hawanipigii simu, sijui kwa nn
Unategemea na strength ya network unayotumia ili primo iweze kurespond call yako mapema otherwise it will take a while, so be tolerant....
 
iyo namba ya USA mi hata kuipata sijaipata kabisa wananiletea kununua
Kuipata free.sasa izo namba si rahic unajua hii primo nau imekuwa updated so wanataka uilipie bt kuanzia dolla 2 kuendelea kutokana unahitaj kwa mda gan iyo namba kwa 1month,3months 1year kbsa..lkn ingia hpo hpo kuna sehemu wameandkka free trial ..kuna namba ya us lkn ni kivuli jaribu hpo ..ukiclick hpo itakuja option ya kuko confirm your email ..km email yko ikiwaconfirmed iyo namba utaipata lkn utaitumia ..ukiona bdo inakataa kuichukua jua your email bdo haijawa confirmed
 
okay mkuu hapa nimekuelewa vyema sasa..shukrani kwa vichwa panzi wenzangu ambao hatukuelewa najua wengine waliminya kimy
 
Back
Top Bottom