Nakerwa na watu wachache wanaomsuport North korea

Mtu mzima na akili zako unaombea na unadhani north korea anauwezo wa kumpiga us?

Alafu vijana wa jf sasa tunavyopenda ngono sasa mchana tunamshabikia North korea alafu usiku tukiugua gonjwa lile tunakimbilia kwa US atupe ARV za bure

Umelalia neti ya msaada hapo hadi dawa za Tb Huyo huyo Us unataka akupe bure

Misaada huyohuyo US

Alafu mnapayuka tu .

Hebu tuache unafiki basi

Mjapani huwa anatupiga tafu sana hapa tz kwenye maswala ya miundombinu hata misaada wapo mstari wa mbele

South korea nae pia anatupiga tafu sana kwenye maendeleo na kuna wengine hapa ni mashahidi mmesomea kwenye madarasa yalee ya koica walijenga karibia nnchi nzima
Kwa akili zako hizo nyinyi ndio wale ambao unamfumania mkeo anagongwa halafu huyo mwanaume anayemgonga mkeo anakupa hela na ww unamsamehe na unarudi na mkeo nyumban maisha yanaendelea
 
Team USA wamekua kama Gwajima sasa. Mtu mzima mapanki ameshasema yeye kwa upande wake yupo tayari kwa vita, cha ajabu Marekani kila siku mara kaja na stori hii mara ile. Marekani mmepewa ruhusa ya kubonyeza button nyie si wababe!! Sasa maneno kila siku ya nini? Tungueni huko Pyongyang mziki uanze.
 
Mtu mzima na akili zako unaombea na unadhani north korea anauwezo wa kumpiga us?

Alafu vijana wa jf sasa tunavyopenda ngono sasa mchana tunamshabikia North korea alafu usiku tukiugua gonjwa lile tunakimbilia kwa US atupe ARV za bure

Umelalia neti ya msaada hapo hadi dawa za Tb Huyo huyo Us unataka akupe bure

Misaada huyohuyo US

Alafu mnapayuka tu .

Hebu tuache unafiki basi

Mjapani huwa anatupiga tafu sana hapa tz kwenye maswala ya miundombinu hata misaada wapo mstari wa mbele

South korea nae pia anatupiga tafu sana kwenye maendeleo na kuna wengine hapa ni mashahidi mmesomea kwenye madarasa yalee ya koica walijenga karibia nnchi nzima
Hata mimi nashangaa. N. Korea anaandaa silaha kila kukicha huku watu wake wanahangaika. Kila siku vitisho vya silaha kwa Marekani. Anajivunia nini? Na Wtz tunamchekea
 
Mtu anaeishabikia Korea haijui vizuri ...ile nchi kwa kukandamiza haki za binadamu hata magaidi wakasome...kwa wakristo lile ndio taifa hatari zaidi kuwa mkristo na in fact sio mkristo tu hata muislam in short hutakiwi kuabudu kingine chochote tofauti na kale kajamaa na wazazi wake
Soma stories za defectors utachokaaa na sio western propaganda kama wengi tulivyo karirishwa
Yaani mtu akifungwa anafungwa yeye pamoja na vizazi vyake vitatu....kuna mengi sana kuhusu huo uongozi unahitaji Uzi wake kabisa
Kuna nchi inayo kandamiza HAKI kama U S A kweli usicho kijua nisawa na usiku wa giza
 
Mtu anaeishabikia Korea haijui vizuri ...ile nchi kwa kukandamiza haki za binadamu hata magaidi wakasome...kwa wakristo lile ndio taifa hatari zaidi kuwa mkristo na in fact sio mkristo tu hata muislam in short hutakiwi kuabudu kingine chochote tofauti na kale kajamaa na wazazi wake
Soma stories za defectors utachokaaa na sio western propaganda kama wengi tulivyo karirishwa
Yaani mtu akifungwa anafungwa yeye pamoja na vizazi vyake vitatu....kuna mengi sana kuhusu huo uongozi unahitaji Uzi wake kabisa
Wanakesha wakiimba live 'long Kim Jong ii' raia yeyote atakayekwenda kinyume na haya matamshi anahukumiwa kunyongwa hadi kufa, hii ni hatari sana mkuu! Lkini nadhani pia bifu hii na Marekani ya muda mrefu sana sio ya jana wala juzi, yeye Kim anatekeleza tu! Tusubiri tuone maana hata Us naye anaingia woga kwa kuwa Korea wanaitazama kwa chini, anything can happen..let's just wait and watch!
 
Back
Top Bottom