Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo ovyo

Dec 29, 2015
18
41
Hi

Kuna hii tabia ya muda mrefu na iliyoota mizizi ya wanaume kuomba namba za wanawake ovyo

Unakuta upo kwenye dala dala let say mmekaa kiti kimoja, utashangaa baada ya salaam tu mtu keshakimbilia kuomba namba, unashindwa hata kumwelewa
Hivi kwa sisi tunaoenda kazini daily tukisema tutoe namba kwa kila mtu, baada ya mwezi tutakua tumetoa namba kwa watu wangapi?
Ukinyimwa namba unaona kama umedharauliwa, kuweni wastaarabu bana

Hivi ww msichana wako au mkeo akiwa anaombwa namba na kuzitoa kwa watu kila siku utajisikiaje, tunaomba mtusaidie kwa kuwa wastaarabu

Tabia hii imekithiri sana, mtu upo sehemu yako ya kazi, jitu umeshalihudumia linaibuka na kuomba namba
Hivi mnaona sifa gani kutongoza wanawake ovyo ovyo?

Wakati mwingine mtu mwenyewe kachoooka halaf anakuomba namba hadi kero

2016 mbadilike
 
Ukiombwa namba ovyo ovyo na wewe toa namba ovyo ovyo,akikutongoza ovyo ovyo nawewe mkubari ovyo ovyo,akikupigia simu ovyo ovyo na wewe mpige mizinga ovyo ovyo,kama hajaacha kukutafuta ovyo ovyo,yaani kila kitu kwake kitAkuwa ovyo ovyoooo!
 
unawaza kutongozwa tu huna lolote, halafu mtu akiwa kachoka anakuwa hana hadhi ya kuwa na wewe au
 
Siyo kila anayekuomba namba anataka kukutongoza, wengine wanapenda urafiki tu, anyway tumejua na ww unasumbuliwa.
 
Mademu mnabore kweli yaani imejengeka kwenu kuwa kila anaetaka mawasiliano na ww nia yake ni kukutongoza nyie vp yaani huwa hamna wazo jingine zaidi ya kutongozwa
 
Ujue kuobwa namba jambo la kawaida msikilize mtu anayosema alafu kama unaona humuelewi unamueleza anakuelewa unakuwa marafiki tu utakuta huyo huyo mtu oneday utakuja kumtumia kwenye shida yako usibague pia kwaajili amechoka ujue kila mtu anahumuhimu siku moja atakuja saidia na uchovu wake
 
Unamnjima namba kwasababu unaona ana mwonekano wa kuchoka???

unamnjima namba coz unahisi atakutongoza, kwani contact list yako yote ya majina ya wanaume huwa walishakutongoza?

Mawasiliano ni zaidi ya kutongozwa, so men tukikuomba namba usihisi kutongozwa ndo kinafata.
 
Wanajistukia...... Mbona mkiombwa namba zenyewe mnatoa zote mlizonazo hadi ya hallotel!! +
 
Hili mbona ni suala la kawaida sana..... Unalalamika nn ukiona unsombwa namba mara kwa mara ujijue wewe kuwa unakaface kazuri kidogo.......!!!!!
Ukiombwa namba ovyo ovyo na wewe toa namba ovyo ovyo,akikutongoza ovyo ovyo nawewe mkubari ovyo ovyo,akikupigia simu ovyo ovyo na wewe mpige mizinga ovyo ovyo,kama hajaacha kukutafuta ovyo ovyo,yaani kila kitu kwake kitAkuwa ovyo ovyoooo!
 

hahahaha hiyo sentensi ya mwisho inaonyesha kuwa namba utatoa tuu kama jamaa mambo safi.....so ushauri wa bure kwako...mwaka 2016 jiuchunguze wat is it about u that keeps attracting wanaume waliochoooooka.

p.s kwa uzuri, 1 hadi 10 unajipa ngapi?
 
Huyu dada kaonyesha udhaifu mkubwa ma kuwa HANA SIRI, kwanza nani anajua umeolewa,? Pia kwann uamini NAOMBA namba yako kukutongoza? Mbona mm wadada weng wananiomba busness card na nawapatia...? Kwa unataka kutuaminisha kuwa wanaume ni wadhaifu ndo maana wanakuomba namba..sasa wakuombe nini ...huna ela ndo maana unapanda daladala...km hutaki socialization nunu bajaj/ gari kaa peke yako..uone km hata horn utapigiwa...ww ni type ya wale mama ukiwakuta na gari hata lift hatoi kwa wafanyakaz wenzake, akikaa kwenye gar anavaa kimini utadhani hajui kuwa atashuka kwenye watu ..mpk aibu..ila subir apate break down...uone anavyojifanya mwema, binafs sijawah kumuonea huruma mwanamke aliyepata break down barabarani, I does Only if...Naona kabeba watoto wadogo tu!!.
 
wewe kama hutoi wenzio wanatoa ndio maana tunaendelea kuwaomba
Mkuu umeongea vyema maana wenzake tukiwaomba tuu wanatupa za mitandao yote ili hata ukijiunga na promo usipate shida!!!!
 
Iweke profile bas hiyo namba ili upunguze hizo gadhabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…