Najuta kumfahamu huyu mwanamke

Mleta mada hajielewi,inawezekana kabisa kuwa haelewi kama hajaeleweka maana ameshindwa kuelewa atuandikie kitu gani ili atueleweshe tuweze kumuelewa....
 
Kiukweli na mimi ni mmoja kati ya ambao sijakuelewa.

So huyo uliezaanae unaishi nae kama mke au uko nae vipi kwa wakati uu.
 
Aisee...Tulizana..Acha papara

Embu tulia kwanza usubirie fungu lako, Hao unaowapata sasa hivi inaonesha sio riziki..

Lakini uliyataka mwenyewe kwa tamaa zako, unamlazimishaje mtu atoe mimba?? Ungetumia ndom kingeharibika nini..

Halafu kingine acha tamaa za fisi...unataka ule huku na huku!!
 
Yani hapo ndio mwishi wako wa kufiri au ur mentally tired? manake mwanamme kweli hawezi kumwambia mwanamke akatoe mimba,wakati ulivyokua unaisikilizia utamu wake na miguno mingi bila kinga hukujua kama unaweza kumtia Mimba?
au ulikua hujiamini ur man enough? ebu kua na aibu na dada wawenzio,mwanamme hua anasimama kama mwanamme
na kauli yake hua hazungushi,na hao wanao kukataa wamesha kuona una mapungufu huna kurogwa wala nini,akuroge kwa lipi? umejiroga mwenyewe na mkosi wakutaka kuua kiumbe kisicho na hatia...
 
wewe fala tu yaani umzalishe tu umwage? wewe ukimwagwa unaona shida na utakimbiwa mpaka na mende.
wacha ulogwe tu
ulivokuwa unampa mimba ulifikiria nini?
alinitega coz tulikuwa tunatumia condom but badaye akakana akasema anajua kuhesabu siku zake sijui
 
Eee si anajiita choko nani sijui ...hahahah
Yani anatia hasira kweli kweli manake kwa mujibu wa story yake mwanamke ndio anatakiwa kujuta kumfahamu yeye
chokodari maana yake ni mlinzi kikenya but nimetumia tu sio jina langu
 
Dada bado kuna wanaume wa aina hii dunia hii?

Nyie ndiyo mnatufanya wanaume wa kweli tudharaulike.

Tena furahi maana muda huu ulipaswa uwe keko unadhani wewe baba yako angemfosi mama yako atoe mimba yako wewe ungekuwa wapi?

Tena unajitapa eti nilimwambia atoe...shit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom