Efendi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 314
- 438
Simba Sports club Limited imeingia mkataba na Equity Bank Tanzania katika kupata Card mpya za wanachama wake ambao katika Kampuni wanahodhi 51% ya umiliki.
CEO Wote wawili wa Simba na Equity waliweza kuelezea manufaa pande zote watakayopata kutokana na mpango huu mzuri wa kutoa Card mpya kwa Wanachama wake (Members Card) na Mashabiki wake (Fans Card).
*MANUFAA YA SIMBA*
1. Itapunguza urasimu uliokuwepo na kufanya mambo kisasa zaidi.
2. Card zote zitakuwa E-card kama ilivyo sawa ATM CARD.
3. Unaweza nunua bidhaa kwa punguzo maalum(Luku,Fuel,dawasco nk)
4. Unaingilia Uwanjani kwa kukatwa fedha direct.
5. Kuhakiki automatically Leja ya Wanachama hai na Mashabiki hai kwa muda mfupi.
6. Kupata Kipato kutoka moja kwa moja kwa WanaSimba.
7. Unaweza kufungua, kuweka na kutoa fedha kwenye account bure bila makato yeyote yale.
8. Kuweka utaratibu rahisi wa kupata huduma mbalimbali ndani ya Simba.
9. Kujivunia uwekezaji kwa kushiriki kuwekeza.
10. Itaongeza Thamani za hisa zetu pamoja na brand kwa ujumla.
*AINA ZA CARD*
Kutakuwa na Aina mbili za Card ambazo zote zitakuwa na kazi sawa ila zitatofautishwa na Mwanachama na Mshabiki tu.
*KADI YA MWANACHAMA- MEMBER CARD*
Hii itatolewa kwa Wanachama wote wa sasa walio na kadi na ambao ni wanahisa wa Simba Sports club Limited.
*KADI ZA MASHABIKI - FANS CARD*
Hizi zitatolewa kwa mtu yeyote Aliemshabiki wa Simba ambae sio mwanachama ili kumfanya kuchangia Club yake kwa ajili ya maendeleo.
Pia hii Card ndio itakuwa moja ya Tiketi ya kuomba Uanachama kupitia Matawi ya Simba sio kuwa mwanachama Bali kuomba kwa taratibu zilizowekwa kwenye matawi chini ya Club.
*WANAOTAKA UANACHAMA MPYA SASA*
Zoezi la kupata wanachama wapya litakuja baadae baada ya uhakiki kukamilika kwa kutoa Card kwa wanachama wote waliopo na ndio utaratibu utatolewa na Bodi ya Wakurugenzi kuwa Ada ya kuingia kuwa Mwanachama ni kiasi gani kutokana na thamani ya hisa ya wakati husika.
*GHARAMA ZA CARD*
Gharama za jumla kupata Card ni lazima uwe na 22,000 hii inajumisha 10,000 ya gharama ya Card na 12,000 ya Ada kwa mwaka ndio unatakiwa kulipia kwa mkupuo mmoja.
*SIMBA INAFAIDIKIA VIPI NA FEDHA*
Simba Sports club Limited inapata faida kutokana na taratibu iliyokubaliana Equity Bank hapatakuwa na faida ya mwanzo Bali faida utakuwepo kadiri wanasimba watakavyoingia au kujiunga.
Katika fedha ya Card 10,000 Simba inapata 2,500 nnakatika fedha za Ada 12,000 Simba inapata zote hivyo kufanya jumla katika 22,000 atakayolipa kila Mwana Simba Timu itanufaika na kupata 14,500.
*MFANO HAI TARGET*
Kwa mwaka mmoja Simba inatazamia kuwa na ingizo au kuuza Card 1,000,000 hii ina maana kuwa katika 22 Billion zinazopatikana Simba inapata 14.5 Billion.
Mwaka unaofuata Simba inakuwa inapata Ada direct 12 Billion na kuendelea kila mwaka.
*UNAPATAJE CARD*
Utaratibu utatangazwa 01 September 2019 kwa kuanza rasmi zoezi hili kubwa baada ya vifaa/taratibu vyote kukamilika.
Ili kuweza kutoa Card ila ni lazima kila mtu afungue Account Equity bank ambayo aitakugharimu kitu zaidi ya kukupa faida ya usalama wa fedha zako na bila kuzikata makato yeyote ni Account maalum kwa ajili ya Timu ya Simba ambayo utaitwa *SIMBA ACCOUNT* na kupita *SIMBA CREDIT CARD*
*UKUBWA WA EQUITY BANK TANZANIA*
Katika kutoa huduma kwa haraka kwa wanachama wa Simba Equity bank itatumia Branches(matawi) yake yaliyokuwa 15 nchini kuongoza Mawakala(Agents) 2,500 waliopo sehemu mbalimbali na pia Kutakuwa na Machine za mkononi 450 zitakazozunguka kwenye mahitaji makubwa ya wanachama ili kuweza kukidhi zoezi hili kwa makini na ufasaha kwa manufaa ya pande zote mbili.
*NUKUU YA LEO:*
" ```Mohamed nakuunga Mkono katika uwekezaji wako.....na naomba uwaangalie na wafanyakazi maslahi yao kama unavyoangalia maslahi ya Simba....``` " JPM.
*IGA UFE: #THIS IS NEXT LEVEL*
Hashim Mbaga
0764100001