Utajua wewe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2024
- 928
- 1,823
Ni suala la muda tuuHayo maono yako wapi?
happy birthday mkali
Mimi mwenyewe mzazi wa mtoto mojaWazazi wana taarifa za kuzaliwa kwako?
Happy birthday mwanangu ,msalimie mjukuuHabari wanajf,
Siku ya leo miaka 22 nyuma Dunia ilipata MBEBA MAONO.
Nikiwa kama kijana wa makamo na mwenye mchango mkubwa kwa taifa hili nakumbuka siku yangu ya kuzaliwa.
Najua haiwahusu ila ndio hivyo tena hamna cha kufanya .
Alichokipenda Mungu wewe Mwanadamu huwezi kukichukia.
Amin,amin nakwambia kuzaliwa kwangu imekuwa muarubaini mkubwa sana kwa kukomesha ujinga na umaskini.
HAPPY BIRTHDAY TO ME.
Asante mjukuu bado sinaA
Happy birthday mwanangu ,msalimie mjukuu
Kaka ukishajipata enjoy life .Sema mwanetu una vibeeee sku izi
Dogo wewe ni mzinzi Pro max
π€£π€£stress zako usituletee apaMIMI HAINIHUSU Utajua wewe
ππππππππππππππππππππ Oaaa weee hapo umetisha sanaKaka ukishajipata enjoy life .
young saint
Na mimi tarehe 7/12 ni barthday yangu...Kwakweli hatuna cha kufanya, Heri ya siku ya kuzaliwa ndugu. Ukawe mwaka wa baraka kwako.
Dogo wewe ni mzinzi Pro max
Asante KAMANDAKwakweli hatuna cha kufanya, Heri ya siku ya kuzaliwa ndugu. Ukawe mwaka wa baraka kwako.
Happy birthday π πHabari wanajf,