Leo Bungeni ambapo Mbunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA
Devotha Minja anauliza ''serikali inasemaje kuhusu watu wanaozuia waandishi wa habari kufanya kazi zao mfano tukio ambalo limetokea jana Jijini Arusha?''
Naibu Waziri wa Habari anajibu ''Mimi ndio kwanza ninasikia kama kuna watu wanazuia wanahabari kufanya kazi yao nijulishwe ili tuone hatua za kuchukua"
My take: Naibu Waziri mwenye dhamana ya waandishi, hajui kama kuna waandishi walikamatwa jana. Si ajiuzulu tu huyu?
Hao Waandishi wana digrii au ni wale wanaojiita Waandishi kwa kushika peni na kamera ambao hata usafiri huwa hawana wanavizia lift za wenye tukio au kuvizia lift za magari ya polisiLeo Bungeni ambapo Mbunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA
Devotha Minja anauliza ''serikali inasemaje kuhusu watu wanaozuia waandishi wa habari kufanya kazi zao mfano tukio ambalo limetokea jana Jijini Arusha?''
Naibu Waziri wa Habari anajibu ''Mimi ndio kwanza ninasikia kama kuna watu wanazuia wanahabari kufanya kazi yao nijulishwe ili tuone hatua za kuchukua"
My take: Naibu Waziri mwenye dhamana ya waandishi, hajui kama kuna waandishi walikamatwa jana. Si ajiuzulu tu huyu?
Gari Ya polisi sio daladala inayosimama kila kituo. Kituo cha polisi ndio kituo chake cha kupakiTanzania nchi yetu ya mikasa na matukio...huu sasa ni wakati wa LIFTI YA POLISI
Uwe unaficha upumbavu wako kwani waandishi wa habari jana nyie mliwapeleka hapo walipokuwa?Hao Waandishi wana digrii au ni wale wanaojiita Waandishi kwa kushika peni na kamera ambao hata usafiri huwa hawana wanavizia lift za wenye tukio au kuvizia lift za magari ya polisi
Kumbe waandishi inatakiwa degree! Ila ukuu wa mkoa hata zero(bashite) anafaa!Hao Waandishi wana digrii au ni wale wanaojiita Waandishi kwa kushika peni na kamera ambao hata usafiri huwa hawana wanavizia lift za wenye tukio au kuvizia lift za magari ya polisi
Walidandia lift kwenda kurudi wakawa hawana ikabidi wapewe lift wakashushwa kituoni ili kila mtu aendelee na safari zake. Hata wewe ukiomba lift au hata usipoomba lakini wakikukuta unasubiri usafiri wakakwambia tunaweza kukupa lift ukikubali watakushusha kituo cha polisi ambapo huwa wanapakiUwe unaficha upumbavu wako kwani waandishi wa habari jana nyie mliwapeleka hapo walipokuwa?
Mleta Mada anafikiri kazi Ya waziri ni kutegemea taarifa za mitandaoni na magazeti kama ambavyo wabunge wa chadema hutegemeaajihuzulu kwa kipi?? mbona baraza lao halijasema kitu ...mi naona poa tuu ni jukumu la chama cha waandishi wa habari kumpelekea taarifa lakini wameuchuna kimyaaa....watasubiri saana
If at all we shall get there.Hivi siku hizi waziri mwenye dhamana na habari vilevile ndiye personal body-guard wa waandishi wa habari nchini kote? Seriously? Hakika Tanzania bado kuna millions of milestones ahead to get there!