C cool d JF-Expert Member Jan 20, 2015 1,743 1,749 Jan 1, 2016 #1 Wasalamu! Naomba kufahamishwa sehemu gani Mwanza mjini naweza kupata machine za kushonea nguo na bei zake, e.g Cherehani na overlock machine. Mbarikiwe kwa muda wenu mtakao nisaidia.
Wasalamu! Naomba kufahamishwa sehemu gani Mwanza mjini naweza kupata machine za kushonea nguo na bei zake, e.g Cherehani na overlock machine. Mbarikiwe kwa muda wenu mtakao nisaidia.
gfsonwin JF-Expert Member Apr 12, 2012 18,272 20,683 Jan 1, 2016 #2 hebu hakiki kichwa cha habari cha uzi wako
C cool d JF-Expert Member Jan 20, 2015 1,743 1,749 Jan 1, 2016 Thread starter #3 Namaanisha machine za kushonea Mwanza ntapata wapi?