Wanabodi kama kuna mtu anauza king'amuzi Cha Azam anitafute nahitaji ving'amuzi sita na Azamu wenyewe wanataka ninunue na dish wakati shida yangu sio dish. 0715200767
Kama unahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba unicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
Au kama kuna mtu ana king'amuzi cha DISH cha STARTIMES aje tubadilishane nimpe cha DISH cha AZAM but ataniongeza 60k ( NOTE: kingamuzi changu cha AZAM bado kipya hakijamaliza hata mwezi toka kinunuliwe na tayari kimeshalipiwa kwa muda wa miezi mitatu kwa chaneli zote )