A De prince
Member
- Dec 31, 2022
- 6
- 6
Shukrani sanaaaIsrael na palestina havitangamani,pili huna hela ya kumtunza tafuta size yako huyo anataka ndoa labda
Pa1 sanaaDogo Kua makini usije kuanza mwaka kwa vilio... Anyways kama hakutaki achana nae tafuta pisi nyingine huko chuoni
Sure...Unataka kulazimsha labda kuna anayo kuepusha nayo
1. Hakupendi
2. Haumfahamu vizuri labda hujamuona na njemba.
3. Ni msiri
Mwambie asichanganye mapenzi na shule.Dogo Kua makini usije kuanza mwaka kwa vilio... Anyways kama hakutaki achana nae tafuta pisi nyingine huko chuoni
Bro nmekuwa single kitambo sana sababu ya shule had nw nmefika chuo kidumu kimejaa nafanyaje sasMwambie asichanganye mapenzi na shule.
We c unahitaji kumuoa? Basi tuma washenga na sio uswahili wa wanafunzi wa vyuoNAOMBENI USHAURI...nifanye nn?
kuna mwanamke nampenda sana saiz imepita miaka 5 tokea tumekuwa karbu sanaa lkn kila nikijaribu kumueleza hisia zangu ananizngua anadai haitaji kuwa kwny mahusiano...mm nilikuwa bize na masomo nlkuwa nmemuacha nyuma kidg kidarasa lkn tuna mawasiliano mazuri akat nipo advance na saiz nipo chuo lkn kila siku tunaonana... na sijawahi kumuona na mwanaume aina yeyote lkn kila nikiingizia swala la mahusiano anabadilika af anapotezea mada...ni mtu wa kanisani sana (anasali sana) but yeye n mkristo na mm n muislam...nashndwa kuelewa shda nn inayomsumbua maan nshawahi kumuuliza labda tatizo ni dini lkn alikataa akasema hata yeye baba'ke ni muislam kwhy din haina shida...sasa cjuh nifanye nn ili niweze kuwa nae maan nampenda sana na anatabia nzuri... NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI ILI NIWEZE KUMPATA..?
NB: (anapenda sana zawadi)
Shukran sanaKama upo chuo mkuu tafadhari sana naomba uzingatie masomo,hizo habari za mahusiano zitafaa ukimaliza masomo ukapata mishe yako ya kuendesha maisha yako na utakapokuwa unahitaji kuanzisha familia yani kuoa,usiwe na haraka mkuu,focus kwanza kupata huo utaalamu,wanawake utawakuta wengi tu.
Tafuta mwingine kijana,huyo pekee ndio anayeweza kupunguza hiko kidumu?Bro nmekuwa single kitambo sana sababu ya shule had nw nmefika chuo kidumu kimejaa nafanyaje sas
Nadhani amekusikia vizuriMwambie asichanganye mapenzi na shule.
1: Pole sana mkuu kwa kupoteza miaka 5 kizembe sana.NAOMBENI USHAURI...Nifanye nn?
Kuna mwanamke nampenda sana saa hizi imepita miaka 5 tokea tumekuwa karibu sanaa lakini kila nikijaribu kumueleza hisia zangu ananizngua anadai haitaji kuwa kwny mahusiano...
Mimi nilikuwa busy na masomo nlkuwa nmemuacha nyuma kidg kidarasa lkn tuna mawasiliano mazuri akat nipo advance na saiz nipo chuo lkn kila siku tunaonana... na sijawahi kumuona na mwanaume aina yeyote lkn kila nikiingizia swala la mahusiano anabadilika af anapotezea mada...
Ni mtu wa Kanisani sana (anasali sana) but yeye n mkristo na mm n muislam...nashndwa kuelewa shda nn inayomsumbua maan nshawahi kumuuliza labda tatizo ni dini lkn alikataa akasema hata yeye baba'ke ni muislam kwhy din haina shida...sasa cjuh nifanye nn ili niweze kuwa nae maan nampenda sana na anatabia nzuri...
NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI ILI NIWEZE KUMPATA..?
NB: (anapenda sana zawadi)