Nahitaji ushauri kumpata mke wangu mtarajiwq

A De prince

Member
Dec 31, 2022
6
6
NAOMBENI USHAURI...Nifanye nn?

Kuna mwanamke nampenda sana saa hizi imepita miaka 5 tokea tumekuwa karibu sanaa lakini kila nikijaribu kumueleza hisia zangu ananizngua anadai haitaji kuwa kwny mahusiano...

Mimi nilikuwa busy na masomo nlkuwa nmemuacha nyuma kidg kidarasa lkn tuna mawasiliano mazuri akat nipo advance na saiz nipo chuo lkn kila siku tunaonana... na sijawahi kumuona na mwanaume aina yeyote lkn kila nikiingizia swala la mahusiano anabadilika af anapotezea mada...

Ni mtu wa Kanisani sana (anasali sana) but yeye n mkristo na mm n muislam...nashndwa kuelewa shda nn inayomsumbua maan nshawahi kumuuliza labda tatizo ni dini lkn alikataa akasema hata yeye baba'ke ni muislam kwhy din haina shida...sasa cjuh nifanye nn ili niweze kuwa nae maan nampenda sana na anatabia nzuri...

NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI ILI NIWEZE KUMPATA..?
NB: (anapenda sana zawadi)
 
NAOMBENI USHAURI...nifanye nn?

kuna mwanamke nampenda sana saiz imepita miaka 5 tokea tumekuwa karbu sanaa lkn kila nikijaribu kumueleza hisia zangu ananizngua anadai haitaji kuwa kwny mahusiano...mm nilikuwa bize na masomo nlkuwa nmemuacha nyuma kidg kidarasa lkn tuna mawasiliano mazuri akat nipo advance na saiz nipo chuo lkn kila siku tunaonana... na sijawahi kumuona na mwanaume aina yeyote lkn kila nikiingizia swala la mahusiano anabadilika af anapotezea mada...ni mtu wa kanisani sana (anasali sana) but yeye n mkristo na mm n muislam...nashndwa kuelewa shda nn inayomsumbua maan nshawahi kumuuliza labda tatizo ni dini lkn alikataa akasema hata yeye baba'ke ni muislam kwhy din haina shida...sasa cjuh nifanye nn ili niweze kuwa nae maan nampenda sana na anatabia nzuri... NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI ILI NIWEZE KUMPATA..?
NB: (anapenda sana zawadi)
We c unahitaji kumuoa? Basi tuma washenga na sio uswahili wa wanafunzi wa vyuo
 
Kama upo chuo mkuu tafadhari sana naomba uzingatie masomo,hizo habari za mahusiano zitafaa ukimaliza masomo ukapata mishe yako ya kuendesha maisha yako na utakapokuwa unahitaji kuanzisha familia yani kuoa,usiwe na haraka mkuu,focus kwanza kupata huo utaalamu,wanawake utawakuta wengi tu.
 
Shukran sana
 
Kukosa nguvu za kiume ni tatizo ila kushindwa kutongoza mwanamke ni tatizo zaidi.

5 years hujafanikiwa, usipokuta bikra usioe.
 
NAOMBENI USHAURI...Nifanye nn?

Kuna mwanamke nampenda sana saa hizi imepita miaka 5 tokea tumekuwa karibu sanaa lakini kila nikijaribu kumueleza hisia zangu ananizngua anadai haitaji kuwa kwny mahusiano...

Mimi nilikuwa busy na masomo nlkuwa nmemuacha nyuma kidg kidarasa lkn tuna mawasiliano mazuri akat nipo advance na saiz nipo chuo lkn kila siku tunaonana... na sijawahi kumuona na mwanaume aina yeyote lkn kila nikiingizia swala la mahusiano anabadilika af anapotezea mada...

Ni mtu wa Kanisani sana (anasali sana) but yeye n mkristo na mm n muislam...nashndwa kuelewa shda nn inayomsumbua maan nshawahi kumuuliza labda tatizo ni dini lkn alikataa akasema hata yeye baba'ke ni muislam kwhy din haina shida...sasa cjuh nifanye nn ili niweze kuwa nae maan nampenda sana na anatabia nzuri...

NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI ILI NIWEZE KUMPATA..?
NB: (anapenda sana zawadi)
1: Pole sana mkuu kwa kupoteza miaka 5 kizembe sana.

2: Ukweli ni kwamba huyo hakupendi ila anaogopa kukuchana live hakupendi may be wewe ni ushaonyesha udhaifu kwake anaogopa utaumia sana anakuonea huruma

3:msiri sana huyo hivyo huwezi kumjua japo watu wa sala sana list zao zinakuaga zimejaa zikajazilika

4: achana nae tafuta saizi yako. Wanawake wako wengi wanazagaa huku tuwahurumie mkuu tiwaweke ndani watulie.

5: Ukishindwa kabisa cheza kirafiki usimtongoze tena wewe pita humo humo kisela na kiutani utani alafu mvimbishe tumbo subiria kuslimishwa na ndoa ya mkeka

** UKISHINDWA KUKUBALIANA NA HAYO HAPO JUU TUPE NAMBA YAKE TUKUSAIDIE KUTAFUTA HURUMA ZA MWANAMKE NA KUMWAMBIA ANATUTESEA MDOGO WETU *
 
Back
Top Bottom