Habari wakuu,
Nahitaji kuanza ku-import mafuta ya kula kutoka nje, naomba kujua yafuatayo,
1. Document au vibali vinavyohitajika nikienda toa mzigo bandarini?
2. Bandari yenye unafuu wa kuingiza hi bidhaa?
3. Kibali Cha kusajili hii bidhaa ya mafuta TBS ni kiasi(fedha) gani na document zipi znahitajika na kila kitu kitagharimu jumla kama shi ngapi.
4. Tani 10 za mafuta zenye thamani ya milioni 5, zinaweza gharimu shi ngapi mpaka kuzitoa bandarini kwa upande wa TRA, TPA n.k (jumla ya Kodi).
Wenye uzoefu naomba wanielekezee na kama kuna changamoto nizijue na kama kuna ambalo sijaligusa niambiwe pia. Au naomba kukadiriwa huo mzigo nijiandae na sh ngapi pale bandarini.
Asante.