Nahitaji Novel za kiingereza za kusisimua

Ni political story inayohusu imaginary nation of Kangan which experiences a coup De tat under His excellence Sam....... . Humo ndani utakutana na wahusika muhimu kama Chris Oriko, Beatrice na Osidi ( who will later be murdered).
Tarajia kukutana na amazing quotes za gwiji Achebe mwenyewe kama,
"Procrastination is a lazy man's apology"
"Charity is the opium of the privileged "
Mkuu daaah umenipa mizuka saaana lazima niitafute
 
Hivi vitabu kwa mfano The hunter cha Tom wood,ni cha miaka ya karibuni,sidhani kama utakipata hapa bongo,ila kudownload mbona sio kazi ilimradi uwe na app ya kuvisomea,

hiyo The hunter imehusisha pia scene za mji wa Tanga,
ni action packade novel kuanzia page one hadi mwisho,

katika hizi novel za intelligency hapa dunia hizi namba Tatu za wandishi ni noumer,wanaandika vitu kama real,

-mark Greaney
-Tom wood.
-Tom clancy
Duuuuh mpaka tanga
 
The Analyst- John Katzenbach
Camel club- David Baldacci
Split Second- David Baldacci
The Broken window- Jeffery Deaver
The Guilty Are Afraid- James H. Chase
Why Pick On Me- James H. Chase
The Sucker Punch -James H. Chase
 
Back
Top Bottom