Nahitaji mpishi wa vitafunwa na vyakula mbalimbali

munally14

Member
Mar 5, 2020
84
87
Habari

Nahitaji mtu kwenye biashara ya visiga mgahawa ambae anaweza kupika vyakula na bites
Pilau, biryan, vitafunwa sambusa, chapati inshort kma vyakula vya Pwani urojo na kadhalika if you are intrested wasiliana nami kupitia 0742009965

Eneo Kibaha Visiga
 
Back
Top Bottom