Nahitaji mifi/mobile router ya 4G

cyber ghost

JF-Expert Member
May 8, 2015
239
160
Natanguliza shukrani zangu kwenu wanajamii, naomba kufahamishwa nitapata wapi hiki kifaa kwa hapa dar es salaam kiwe na uwezo wa 4G band 20 na band 3 na bei yake tafadhali kwa anaejua
 
Natanguliza shukrani zangu kwenu wanajamii, naomba kufahamishwa nitapata wapi hiki kifaa kwa hapa dar es salaam kiwe na uwezo wa 4G band 20 na band 3 na bei yake tafadhali kwa anaejua
Bei 150,000/= zinapatikana Tigoshop auTTCL shop

Vodacom pia wanazo kwa 130,000/= not pretty sure kama zina support band 20

You could investigate the model
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…