Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,082
Pamoja Kaka maisha ni kupambanaTuko pamoja na mimi nimegonga kitu cha naliendele nimepiga karate leo ngoja tumsubiri nchemba
Serikali ya kibongo sijui ni lini itamthamini mkulima.
Wana jf nimepima zari la kulima ufuta ila nashukuru mungu anasaidia unaendelea vizuri
ila mashaka yangu ni bei tu sijui itakuaje mwaka huu.
Haya banaHASUBUHI?
Haya bana
asubuhi
Siwezi jinsi ya kuedet nimejaribu nimechemkaEdit na kwenye title!
Serikali ya kibongo sijui ni lini itamthamini mkulima.
Wana JF nimepima zali la kulima ufuta ila nashukuru Mungu anasaidia unaendelea vizuri.
Ila mashaka yangu ni bei tu sijui itakuaje mwaka huu.
Sawa nimekuelewa labda tu unisaidie dawa aina gani natakiwa nipulize yakianza maua?Nikusaidie kidogo, sijui umelima mbegu gani? ya kisasa au ya zamani? km ni ya kisasa unatakiwa kujiandaa na yafuatayo:
1. Dawa ya kuua wadudu wakati wa maua.
2. Mbegy hii huanza kuzaa mapema hivyo hukomaa mapema pea, kwa hiyo unatakiwa usisubiri ikauke ikikauka tu imekula kwako kwa sababu wkt wanakata mbegu zitakuwa zinapasuka na kumwagika.
Bei inategemea mwaka huu supply na demand ikoje mwaka juzi nililima ikiwa bei ni 5000/= kwa kilo lkn wengi walivuna huku wanunuzi wakawa wachache bei ikashuka mpaka 2000/= kwa kilo.
Sawa nimekuelewa labda tu unisaidie dawa aina gani natakiwa nipulize yakianza maua?
PoaSikumbuki lakini ukienda kwenye maduka ya kilimo na mifugo watakueleza, usipuuzie kupiga dawa ni mhimu sana.
Mo-KarateSikumbuki lakini ukienda kwenye maduka ya kilimo na mifugo watakueleza, usipuuzie kupiga dawa ni mhimu sana.