Nahitaji kujua bei ya hii mashine ya water pump inchi nne

hoop

Member
Mar 16, 2017
45
22
Habari wana jf.

Naitaji kujua

water pump machine nchi nne na inayotumia diesel kwa dukan inauzwa bei gani

Thanks in advance
 
Mkuu laki nne ni complete na gesi au na hii gesi ni hiz za kawaida?
Gesi za kawaida ni nzuri kuna mwanajeshi nimemuuzia kama hii yuko mgeta morogoro ameipenda juzi rafiki yake nimemtumia tena kwa maelezo 0672852415 na mahitaji ya bidhaa nyingine
 
Hii inasukuma maji umbali gani?
 
Umbali wowote unategemea mpira umefunga mrefu kiasi gani ila kwa uzoefu wangu yenyew inarusha m50 ila kama unashamba kubwa ww tu na uwezo wako wakununua mpira
Hii nimeipenda sana!
Vipi kwenye ujazaji wa gesi upoje?
Kiasi kwamba MTU wa kijijini anaweza kuafford?
 
Mkuu niamin yan ulaji wake mdogo na ufanisi mkubwa shahd n huyo mwanajeshi mgeta inakula mafuta na gesi kiasi kidogo sana
 
Umbali wowote unategemea mpira umefunga mrefu kiasi gani ila kwa uzoefu wangu yenyew inarusha m50 ila kama unashamba kubwa ww tu na uwezo wako wakununua mpira
Hapa ndugu yangu umedanganya!! Umbali wowote?? Ina maana pump yako haina specifications?? Haina maximum delivery head??
 
Huwaga kubishana sijajaliwa mkuu ila naongelea kwa uzowefu wangu sijaanza kuziuza leo vilvile naongea kutokana na nilio wauzia sio mm labda niiuelekeze kwa walio nunua mwingin kesho anaipeleka shamban kwake bungu ungeongozana nae upate ukwel
 
Labda sijakuelewa mkuu, unaposema inaweza vuta maji umbali wowote una maanisha nini?? Maana mi nnajua kila pump ina uwezo specific wa kuvuta maji!!

Unaposema umbali wowote ina maana hata 60km inaweza vuta au?
 
Mkuu niamin yan ulaji wake mdogo na ufanisi mkubwa shahd n huyo mwanajeshi mgeta inakula mafuta na gesi kiasi kidogo sana
Nimekuelewa malengo yangu sio mda mrefu niitafute!
Ila samahani kama nitakua nakusumbua nataka kuelewa zaidi hapo kwenye gasi,yaani wenyewe inakimtungi chake au mtungi wa nje halafu unaunganisha?
 
Mtungi wa nje afu unaunganisha
 
Labda sijakuelewa mkuu, unaposema inaweza vuta maji umbali wowote una maanisha nini?? Maana mi nnajua kila pump ina uwezo specific wa kuvuta maji!!

Unaposema umbali wowote ina maana hata 60km inaweza vuta au?
Kuvuta maji m50 kurusha ukubwa wa viwanja vya mpira vitatu kama utakua na mpira
 
Ndicho hicho nilikua namaanisha mkuu!! Huwezi kusema umbali wowote there's nothing like that!! Next time angalia kwenye label ya pump utakuta vimeandikwa sio unasema tu umbali wowote hilo sio jibu!!
 
ATHUMAN MFAUME inauwezo wa kuhifadhi lita ngap za petrol?? na kama mtungi wa ges huu wa kilo 14 inaweza kutumia muda gan samahan kwa maswali mkuu
 
USHAURI
Pump ya gesi sishauri kabisa. Kwanza jiulize tu upatikanaji wa gesi ulivyo? Pili pump ya diesel/ petrol unaweza nunua ata lita 200 ukahifadhi shambani tofauti na inayotumia gas.
Lakini Pump za diesel ni nzuri kuliko za petrol.

Pump za diesel mara nying zina nguvu kushinda za gas+ petrol

Diesel ni bei rahisi kuliko petrol
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…