Habari wana Jf.!
Nilisikia tetesi kuwa mwaka huu atakayepata division 3 kidato cha sita hataweza kujiunga na vyuo vikuu vya serikali na ataanza na level ya diploma na si degree. Je hii ni kweli? Kwa anayefahamu tujuzane.
Unakuaje Mtoto wa Kiume unahudhuria Masomo unalipa ada unafanya Mitihan unaishia kupata division three? Wanaopata One na two walipokuwa wanafundishwa mlikuwa mnatolewa nje?