Nahitaji kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa

ikhlas

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
1,045
1,296
Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo
  1. Chini ya Umri wa miaka 25
  2. Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala
  3. Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine
  4. Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri .
  5. Mashine ni ya mkataba tunagawana faida.
  6. Awe muaminifu na mkataba utakuwa wa maandishi.
NB: Tafadhali usije PM kama hujapata eneo la kufanyia kazi.

Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo
1.Chini ya Umri wa miaka 25
2.Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la kariakoo na mbagala
3.Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine
4.Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri .
5.Mashine ni ya mkataba tunagawana faida.
6.Awe muaminifu na mkataba utakuwa wa maandishi.

Nb.Tafadhali usije PM kama hujapata eneo la kufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom