dfreym
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 342
- 87
Nimekuwa napata changamoto kwa upande wa hizi incubator ndogo za sido hata za kichina. Zimekuwa nyingi hazina utotoleshaji wa kueleweka. Mara nyingi ni pata potea.
Siku nyingine inafanya vizuri mpaka unaisifia ila siku nyingine inaharibu Mayai mpaka kichwa kinauma.
Nimejaribu kufanya ufuatiliaji nimegundua vifaa vya hizi mashine zetu vingi siyo accurate hasa kwenye kusoma mabadiliko ya joto, unyevu nyevu, carbon dioxide na mengineyo. Na ukiangalia hata technolojia zake zinapishana pakubwa sana.
Sasa natamani kupata industrial setter na industrial hatcher za kampuni zinazoeleweka zinazoanzia mayai 10,000 - 15,000 kwa kuanzia. Ikiwa multi - stage itakuwa bora zaidi maana uzalishaji haujawa mkubwa sana. Ili niepukane na hasara za mara kwa mara.
Msaada kwa anayeweza nipa elimu na mawasiliano ya kampuni zinazoweza fanya hiyo kazi kwa gharama nafuu. Msaada tafadhali.
NOTE: Pia napokea na ushauri wowote wenye kujenga.