Nahisi nimekula nyama ya punda

Wakuu mimi nimekula nyama sehemu flani hapa dodoma lakini nimebaki siielewi. Nyama haina utamu, ngumu, afu kubwa mnoo kwa bei ndogo, huku dodoma naskia paja la nyama ya punda ni sh. 7000 sasa mnao kuja huku muwe makini.
Haaaah...!!! Kwan c ni nyama unachoogopa nn ss tuliza zaga jombaa
 
Kwa Dodoma nyama hiyo ni kama ya kawaida tuu, na serikali haijataka kuhakiki. Ukienda buchani kuna maini mengi kuliko nyama na pale independent square panauzwa utumbo mwingi kuliko idadi ya ng'ombe waliochinjwa. Karibu mkuu, sisi wagogo tumeshazoea.
Inaashiria Nini kukuta maini mengi buchani kuliko nyama?
 
Dah umenikumbusha mwaka 2014 mwezi wa 2 nilienda Mtukula mpakani mwa Tanzania na Uganda nikiwa na Aunt tukaenda mgahawani kuagiza msosi wali na nyama aisee yaani nyama ilikuwa laini halafu chungu mi nahisi walitulisha kama sio ngedere basi mbwa.
 
Wakuu mimi nimekula nyama sehemu flani hapa dodoma lakini nimebaki siielewi. Nyama haina utamu, ngumu, afu kubwa mnoo kwa bei ndogo, huku dodoma naskia paja la nyama ya punda ni sh. 7000 sasa mnao kuja huku muwe makini.
Haina shida kabisa zinachinjwa hapo mitaa ya Ikungi nyuma ya magodown ya Bhanji njia ya kwenda Singidani
Kukosa ladha ni kwa vile zimekaa muda mrefu kwenye jokofu karibia mwaka na nusu baada ya Wachina kuzuiwa kusafirisha
Sasa hivi zinauzwa kwa siri sana, nimekula hiyo nyama miezi mitatu mfululizo mara tatu kwa siku mpaka nikaanza kuwika kama punda
 
Singida, hasa Wanyiramba ndio wanapenda kula huyo mnyama, kiasi kwamba ilifikia mahali halmashauri zikatunga sheria ndogo za kuzuia kula nyama ya punda kwa kuwa ni mnyama kazi
Hakujawahi kutungwa sheria wala kanuni za kuzuia kumla punda yaani nyama yake.
Kuna utafiti umefanywa na wanyaturu, bado haujawa published laki dondoo zinatanabaisha kuwa kuwa Nyama ya mnyama punda ina restore yale manguvu yanayopendwa na akina mama kwenye ndoa.
Tusubiri publication.

Mtoa mada tupe mrejesho kuhusu tabia ya kivurumisha makombora chako.
 
Haina shida kabisa zinachinjwa hapo mitaa ya Ikungi nyuma ya magodown ya Bhanji njia ya kwenda Singidani
Kukosa ladha ni kwa vile zimekaa muda mrefu kwenye jokofu karibia mwaka na nusu baada ya Wachina kuzuiwa kusafirisha
Sasa hivi zinauzwa kwa siri sana, nimekula hiyo nyama miezi mitatu mfululizo mara tatu kwa siku mpaka nikaanza kuwika kama punda
Weweeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
Kwa kuwa wewe sio muhanga, unataka kuwaambia wahanga kuwa hiyo kitu inaondoa tatizo la kupiga danadana chache kwenye warm ups?
mshana jr tiririka
 
Weweeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
Kwa kuwa wewe sio muhanga, unataka kuwaambia wahanga kuwa hiyo kitu inaondoa tatizo la kupiga danadana chache kwenye warm ups?
Hahahaaa ukila zile tunduja zake lakini, Za kuchoma kwa wingi
 
Haina shida kabisa zinachinjwa hapo mitaa ya Ikungi nyuma ya magodown ya Bhanji njia ya kwenda Singidani
Kukosa ladha ni kwa vile zimekaa muda mrefu kwenye jokofu karibia mwaka na nusu baada ya Wachina kuzuiwa kusafirisha
Sasa hivi zinauzwa kwa siri sana, nimekula hiyo nyama miezi mitatu mfululizo mara tatu kwa siku mpaka nikaanza kuwika kama punda
Hahahahahaaa.....hatari sana mkuu. Ulifika hatua mbaya sana ya kuwika mi niliishia kuliza tu MAPUA yangu kama punda.
 
Hakujawahi kutungwa sheria wala kanuni za kuzuia kumla punda yaani nyama yake.
Kuna utafiti umefanywa na wanyaturu, bado haujawa published laki dondoo zinatanabaisha kuwa kuwa Nyama ya mnyama punda ina restore yale manguvu yanayopendwa na akina mama kwenye ndoa.
Tusubiri publication.

Mtoa mada tupe mrejesho kuhusu tabia ya kivurumisha makombora chako.
Kwa kweli hilo sikulinotes mkuu, zaidi zaidi nilikuwa napiga tu machafya kama ya punda mwenyewe.
 
Huwezi kukopi chafya pekee, lazima mdude uende hewani kwa ghadhabu!!!!! maana ndio tabia zake.
Ambacho hakikopiki ni ule upumuaji wake aka mashuzi.
 
Wakuu mimi nimekula nyama sehemu flani hapa dodoma lakini nimebaki siielewi. Nyama haina utamu, ngumu, afu kubwa mnoo kwa bei ndogo, huku dodoma naskia paja la nyama ya punda ni sh. 7000 sasa mnao kuja huku muwe makini.
Nyama nyama nyamaaa ya punda nyamaaaa
 
Back
Top Bottom