Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,469
- 149,378
- Thread starter
- #21
Ngozi nyeusi ni laana.Lazima waiua SGR CCM ni wapumbavu sn hawataki maendeleo
Ngozi nyeusi ni laana.Lazima waiua SGR CCM ni wapumbavu sn hawataki maendeleo
Viongozi ndiyo wana laana aseeNgozi nyeusi ni laana.
Dalili ya mnvua ni mawingu.
na itakunyeshea vizuri tu hata kwa bodaboda ukielekea Magufuli Bus terminal 🐒Dalili ya mnvua ni mawingu.
Si kweli! Haya matreini na mandege yalinunuliwa pasipo kufuata taratibu za manunuzi! Hivyo ubora wake hakuna mwenye kuufahamuMimi Sina mpango wa kupanda ndege Wala treni za serikali Bora nipande bus binafsi ambazo ajali zake ni majaliwa ya Mungu kuliko hizo nyingine ni intentioned accidents za kuchafua uongozi chama na serikali!!
Hahaha kuna mtu alisema CCM hawatki watu wa magufuli, Eti Masanja Kadogosa ni mtu wa hayati, na anapaswa kubadirishwa.
Mbona SSH naye ni wa Marehemu lakini wanataka mitano tena?
CCM ni CCM tu hakuna cha Majaliwa wala LUkuvi wana sijui UWT. Nyoka ni nyoka tu hata akijivua gamba hawi mjusi.pm Majajiwa alipaswa awe bosi wa bosi wake. ni mfuatiliaji mzuri wa mambo, ila amekuwa paralaizid
cha kufanya ni kipi sasa, kwa situation iliyopo.CCM ni CCM tu hakuna cha Majaliwa wala LUkuvi wana sijui UWT. Nyoka ni nyoka tu hata akijivua gamba hawi mjusi.
Hapa kuna mawili! Wewe ni gaidi au mwehu! Tena wewe sio mtanzania! Miradi yoyote mikubwa mwanzo lazima changamoto hizi ziwepo! ATCL uendeshwa na nani mpaka tushindwe SGR! Mxiuuuuh!Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.
Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea halijatokea unless treni hii iko operated kwa msaada wa waliotuuzia mpaka hapo baaadae.
Sina imani kabisa
Wapo wengi kwanza CCM waondoke, halafu tupate katiba mpya. Nafasi zote Serikalini ziombwe na wenyesifa wapewe, tuache hii mambo ya kuteuwana kwa upendeleo wa uchama/uchawa, jinsia,ukabila, utaifa,ukada,udini na ukanda.cha kufanya ni kipi sasa, kwa situation iliyopo.
tumpate wapi Traore wa bongolala
Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.
Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea halijatokea unless treni hii iko operated kwa msaada wa waliotuuzia mpaka hapo baaadae.
Sina imani kabisa
Kuna siku nilisafiri na faimilia yangu yote kwenda moro kwa treni hiyo, nilifikiri kitu kama hicho, na kadiri drama za sgr zinavyoendelea najutia sana uamuzi ule na nimejiapiza starudia tena ujinga uke wa kusafiri na familia yote.Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.
Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea halijatokea unless treni hii iko operated kwa msaada wa waliotuuzia mpaka hapo baaadae.
Sina imani kabisa
Kuna vitu vinahitaji fact zaidi kuliko hisia, hii unayoleta hapa ni hisisa.awazalo ... ndilo litakalo mtokea..
ni muhimu zaidi kujiwazia mema 🐒
Bro, human life is placed at very high value, to take one, come with it very hefty cost.Hata usipokufa kwa SGR unaweza kufa hata kwa kugongwa na bodaboda tu. Siombei hilo likutokee, na wala sishabikii uzembe ktk uendeshaji wa treni; lakini kifo kinaweza kukujia kwa njia nyingine yoyote. Tuache kupigiana ramli za vifo.
Wanaweza kuiba kura tuWameahindwa Mabasi ya mwendokasi wataweza Treni.
Mungu anisamehe ila wewe ni Mbwa na uanstahili upigwe mawe hadi ufe,hivi nyie jamani forum mnaruhusuje ujinga kama huu kuendelea kuwepo?Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.