NADHIRI: Unapoiweka usisahau kuikamilisha na kuiondoa

Nadhiri ni ahadi na agano maalum Kati yako na Mungu kwa wale waaminio, japo kuna nadhiri za nguvu za giza.

Wengi wetu hukumbwa na Changamoto na mapito mengi ya kidunia na hufika mahali na kuweka nadhiri kuwa hili likipita salama nitafanya hili au lile ikiwa ni sehemu ya shukrani yangu kwa Mungu...

Nadhiri huwa kwenye mfumo wa sadaka zaka au matoleo yoyote yale kutotimiza nadhiri yako nikutotimiza ahadi uliyoahidi mwenyewe ni sawa na kutolipa deni... Hiki ni kitu kibaya.

Kwahiyo ni vema unapoweka nadhiri yako Kumbuka kuitimiza kishapo kuitoa au kuitengua
Kuna baadhi ya watu wanachanganya Kati ya kutoa na kuweka nadhiri... Kutoa ni siku ya kuitekeleza na kuweka ni siku ya kuahidi.

Kuwa makini nadhiri yako isije kuwa kiama kwako...

Jichunguze Kama huna nadhiri yoyote.
Habari@mshana Jr.
Mm nilikuwa na tatizo la kutoshika ujauzito kwa mda mrefu. Mwaka Jana kwa msaada wa mwana jf mwenzetu aliniunganisha na mtaalam wa mitishamba ili kutatua tatizo langu. Hugo mtaalam alinicharge 400,000 kwaajili ya dawa hizo. Nilimpa laki NNE lkn kutokana na nilivyohangaika bila mafanikio niliahidi kumpa zawadi ya shs 1000000 kama nitapata mtoto .
Baada ya kumaliza dawa zake nilikaa kama mwezi nikapata ujauzito. Nilimjulisha nikamtumia laki moja.

Sasa nimejifungua salama , lkn kidogo tumeyumba kiuchumi kiukweli kwa sasa sins uwezo wa kupata hiyo million kwa haraka ili nitimize ahadi yangu. Lkn nia ya kumpa ninayo.

Sasa hapa nifanyeje ili nikwepe laana ya kutotimiza ahadi kwa wakati.
 
Kama una nia sidhani kama kuna shida
 
Pole sana.... Nakushauri wasiliana naye mueleze hali halisi halafu yeye ndio aamue lakini usiache kuwasiliana naye

Jr
 
Umesema.vyema kwa sindikiza usemacho

Mhubiri 5:
4 Wewe ukimwekea Mungu nadhiri, usikawie kuiondoa; kwa kuwa yeye hawi radhi na wapumbavu; basi, uiondoe hiyo uliyoiweka nadhiri.
5 Ni afadhali usiweke nadhiri, Kuliko kuiweka usiiondoe.
6 Usikiache kinywa chako kuukosesha mwili wako; wala usiseme mbele ya huyo malaika ya kwamba umepitiliwa; kwani Mungu akukasirikie sauti yako, na kuiharibu kazi ya mikono yako?
Amina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom