NACTE wazidiwa na milano ya IT

mwita burure

Senior Member
Jul 8, 2016
192
39
Habari ndugu wana JF,

Hawa nacte kweli wamezidiwa sana IT wao wameshindwa kufanya kazi walau hata "Profile" zifunguke Bora wakaazime China
 
Wanaangalia waliopata GPA ya 3.5 ili waanze kufungua mtandao wengine waombe maana wote chini ya GPA ya 3.4 wanaachwa,, sasa kama unajijua una chini ya 3.4 usihangaike kuifikilia NACTE tena,jiandae na diploma miaka hii degree ina wenyewe
 
c
Jamani kupata GPA 3.5 siyo mchezo, mwaka huu utakaowaona wanapiga kitabu degree ujue siyo mchezo,,,
CCM ni EBOLA,UKIMWI,hivi wewe kupata GPA 3.5 unafikiri ni rahisi,ccm ni wabaguzi sana ,watotoa wao kama jesca ana divisheni four lakini yuko UDOM,leo watoto wa masikini wanajitahidi mnawakatili kwa kubadilisha viwango vya kuingia chuoni,madhara yake yatakuwa ni makubwa hapo baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…