Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,156
- 13,378
Na kuwa kuna bikra 72 wapo tayari wanasubiri dushe za watenda mema..))sasa kama unaamini bikra anazaa utashindwa kuamini hizo stori?
imani zina mambo mengi
Na kuwa kuna bikra 72 wapo tayari wanasubiri dushe za watenda mema..))sasa kama unaamini bikra anazaa utashindwa kuamini hizo stori?
imani zina mambo mengi
Yaani YESU aombe kwako,?kama nani?ungeendelea kitumia neno angetaka atleast ,but ataomba?nadhani sio sawaNabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.
"Nadhani atakuwa na mtazamo tofauti, jambo la kwanza ataamua kukaa na mimi na atataka kutumia gari langu, atachagua katika hizi (gari) na ataomba nimfuate airport (uwanja wa ndege) kwasababu ndio hadhi yake na kutakuwa na msafara kabisa."
Hao ndo wale wa Taifa teule usishangaeHizi dini ziundiwe chombo maalumu cha kudhibiti wagonjwa wa akili kumdhihaki Mungu