Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,679
- 149,864
Kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo.Tuliosema Lowasa ni fisadi ni sisi kina Mbowe, Lema, Msigwa, Mnyika na Lisu, Na tulishasema ushahidi tunao.
Kwahiyo unatoa ushauri gani? Wewe kama muathirika wa vitendo vya ufisadi Tanzania?Tuliosema Lowasa ni fisadi ni sisi kina Mbowe, Lema, Msigwa, Mnyika na Lisu, Na tulishasema ushahidi tunao.
Tuliosema Lowasa ni fisadi ni sisi kina Mbowe, Lema, Msigwa, Mnyika na Lisu, Na tulishasema ushahidi tunao.
Kuna Nguli mmoja wa sheria amening'ata sikio kwamba wakati wowote kesi hii ikiisha wanaweza kuanza kuitumia kimasomo kwenye vyuo vya sheria , huyu yuko chuo cha mahakama lushoto .Kesi ya Lema katika kupata haki yake ya dhamana naamini itaingia katika kumbukumbu ya vitabu vya sheria duniani na nyaraka nyingine za kisheria na itakuja kutumiwa kama mfano katika maeneo mengi ya kisheria.
Hata hivyo,inaweza ikawa ni kumbukumbu ya kipekee na pengine ya kushangaza kwa vizazi vijavyo.
Kuna nchi nyingine huko duniani wanajua kuwa Mh Lema ana kesi ya kujibu zaidi ya hapa Tanzania tena zaidi sana watu wa Arusha mjini!!!?Kesi ya Lema katika kupata haki yake ya dhamana naamini itaingia katika kumbukumbu ya vitabu vya sheria duniani na nyaraka nyingine za kisheria na itakuja kutumiwa kama mfano katika maeneo/kesi nyingi za kisheria na pengine hata kuchapishwa katika majalada mbalimbali duniani yanayohusu maswala ya sheria.
Hata hivyo,inaweza ikawa ni kumbukumbu ya kipekee na pengine ya kushangaza kwa vizazi vijavyo.
Kasome upya somo linaitwa Legal Method lbd litakusaidia mazingira ya kesi kuwa reported na kutumiwa kama case lawKuna Nguli mmoja wa sheria amening'ata sikio kwamba wakati wowote kesi hii ikiisha wanaweza kuanza kuitumia kimasomo kwenye vyuo vya sheria , huyu yuko chuo cha mahakama lushoto .
Hata kama umelala na mkeo utakuwa unamuota lowassa wewe!Tuliosema Lowasa ni fisadi ni sisi kina Mbowe, Lema, Msigwa, Mnyika na Lisu, Na tulishasema ushahidi tunao.
Vile vile usisahau kwenye huu ulimwengu tuna kesi huwa zinatajwa kama "mockery of trial".Kuna nchi nyingine huko duniani wanajua kuwa Mh Lema ana kesi ya kujibu zaidi ya hapa Tanzania tena zaidi sana watu wa Arusha mjini!!!?
Hao walio tuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi na wakaenda mbali zaidi kwa kusema ushahidi wanao, ndio tunao wataka wampelekeaisee mada nyingine unaongea kitu kingine,
haya sawa lowassa ni fisadi si kuna mahakama ya mafisadi nitafurahi nikiona wamempeleka kule.
siku moja moja uwe unaficha ujinga wako